Mwenzenu nikiangalia uwezo hasa sauti za hao waimbaji watatu mbona naona diamond haingii hata kidogo. cha kushangaza nyimbo za domo nazikubali ila nikikaa nikatulia na kulinganisha naona mmh!! hataa! .hivi ni kwa nini hawa hawafiki mbali kama domo? Ukizingatia kwa kuangalia sauti zao wanauwezo mkubwa sana wa kuperform kwa kutumia band kama wanavofanya p square na wasanii wengine wa mbele. Haya ni mawazo yangu binafsi sijui wenzangu mnasemaje.?