Ally Kiba ni Messi, Diamond Ronaldo


Mh mh mh watu wa dar mnachekesha sana, observation ipi ulioiona wewe ,ya kwenye fiesta? Hizo ni porojo tu,
Kuwa fananisha huyu ni ronaldo na huyu messi tayari uko biase kwa sababu hata kwenye mpira hatuamini kama messi ni mchezaji bora kuliko ronaldo ila anabebwa na fifa na mfumo uliopo kwenye timu yake.
Fikiria unajadili na mtu wa namna gani niko free na sipendelei mtu yoyote ila sikubaliani na jinsi ulivyoanza na hoja yako ,tayari ipo kishabiki.
Naomba ujibu kihoja maana sina andiko nisilofikiria
 
Yan mesi anapenda kutafuta kiki kutoka kwa cristiano ronaldo kama vile ali kiba anavyotafuta kiki kutoka kwa diamond

Kitendo cha mesi kutoa dau kubwa la mchango kuliko Christiano Ronaldo linadhihirisha hili

Tukio hili nalifananisha na tukio la kibakuli kutoa milioni 21 ili amfunikr dai alipotoa mil 20
 
Waumini wa mzee wa upako bana
 
Kiba kama Giroud wakat Dai ni Ronado labda hivyo, hawajapishana kidogo kias hicho kama Ronado na Mess.
 
Mchezaj Arda Turan amewahi kusema RONALDO NI MCHEZAJ BORA KABISA DUNIAN lakini HUYU MESSI YEYE NI WA SAYARI NYINGINE KWA HYO HASTAHIL KULINGANISHWA NA YEYOTE
sayari ipi sasa kama wote tupo kwenye sayari hii.(sun)

basi yeye sio bora
 
Acha ujinga wewe usimlinganishe Messi na vitu vya kijinga
kwani yeye mungu? low thinking capacity ,that's why African do not get devt.bse we think they have special place when they die while not.
 
Acha uswahili wewe uzunguni hakuna upuuzi wa kina ally na diamond, jaribu kuangalia na sababu zinazo weza mpelekea Messi kutoa kiasi kikubwa hicho na si kwa ajili ya Ronald.
Note
Kuna tofauti kati ya mwanafunzi anaye soma kwa bidii na mwenye akili za asili.
 
Wenyewe wanasema Messi ni wa kipekee. Ronaldo anafanya bidii wakati Messi vitu huwa vinamtokea tu uwanjani!!
 
Alikiba kama Bendtner tu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
HAYA MAONI YA VIJANA WA VILAINI A.K.A CHPSI YAI NA KUKU WA WIKI MAANA HUWA AKILI ZIMFUBAA PIA, KWANI HATA ULICHOANDIKA KWA NDOTO HAIWEZEKANI LICHA YA UHALISIA.
NI SAWA NA KUOTA MTU KAOTA MBAWA NA KUPAA...IMPOSSIBLE DREAMS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…