Simtetei Alikiba,
Lakini naamini hapaswi kufananishwa na Mond!
Kila MMOJA NI BEST AT HIS OWN MUSIC, ISIPOKUWA TABIA Zinatofautiana!
Lakini Mafanikio kwa taarifa nilizo nazo (zimethibitishwa kwa 80%) kutoka vyanzo vya uhakika Alikiba anaweza akawa na Mafanikio makubwa kuliko Mwanamziki yeyote Tanzania, Achana na SAUTI ambayo naamini ndiyo inayobeba ladha ya Mziki wake.
kingine kilichothibitishwa na hicho chanzo ni kwamba Alikiba unaweza ukaonana naye na mkapeana hi in simple way
tofauti na mond,
Ngoja nitafute habari picha na vithibitisho vya taarifa.