Ally Kiba ni Messi, Diamond Ronaldo

Ally Kiba ni Messi, Diamond Ronaldo

Simtetei Alikiba,
Lakini naamini hapaswi kufananishwa na Mond!
Kila MMOJA NI BEST AT HIS OWN MUSIC, ISIPOKUWA TABIA Zinatofautiana!
Lakini Mafanikio kwa taarifa nilizo nazo (zimethibitishwa kwa 80%) kutoka vyanzo vya uhakika Alikiba anaweza akawa na Mafanikio makubwa kuliko Mwanamziki yeyote Tanzania, Achana na SAUTI ambayo naamini ndiyo inayobeba ladha ya Mziki wake.
kingine kilichothibitishwa na hicho chanzo ni kwamba Alikiba unaweza ukaonana naye na mkapeana hi in simple way
tofauti na mond,
Ngoja nitafute habari picha na vithibitisho vya taarifa.
 
Unamfananishaje Messi na Ronaldo kwa mfano? Hakuna level yoyote ya kumfananisha na Messi
 
Yan mesi anapenda kutafuta kiki kutoka kwa cristiano ronaldo kama vile ali kiba anavyotafuta kiki kutoka kwa diamond

Kitendo cha mesi kutoa dau kubwa la mchango kuliko Christiano Ronaldo linadhihirisha hili

Tukio hili nalifananisha na tukio la kibakuli kutoa milioni 21 ili amfunikr dai alipotoa mil 20

Usilinganishe mesi & Ronaldo na hao vinyamkera vya kiswahili
 
Ungemtoa messi kwanza ndo uendelee na hii comparison yako
 
Back
Top Bottom