GE2025 Ally Makwiro: Wanaopinga uchaguzi wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa

GE2025 Ally Makwiro: Wanaopinga uchaguzi wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mratibu wa Taasisi ya Jamii Mpya Ndugu Ally Makwiro amesema wamejipa jukumu la kuelimisha Taifa kuhusu watu ambao wanapinga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, amesema kuwa watu hao wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa na wanatumika na watu wa nje kuvuruga amani.
 
Ccm ni ******* sana. Mbona wao wanateka, kuua, kufungia vyombo vya habari, kukamata wapinzani na kuwafungulia kesi za uongo ili wabaki madarakani huo sio uchu wa madaraka?
 
Mratibu wa Taasisi ya Jamii Mpya Ndugu Ally Makwiro amesema wamejipa jukumu la kuelimisha Taifa kuhusu watu ambao wanapinga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, amesema kuwa watu hao wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa na wanatumika na watu wa nje kuvuruga amani.
Huyu si ni kada wa sisiemu mpuuzi na ni mwalimu ambae alienda kugombea ubunge akakatwa jina stupid
 
Back
Top Bottom