Ally Mayai kugombea Urais wa TFF, nakupendekeza

Ally Mayai kugombea Urais wa TFF, nakupendekeza

Hatutaki mazee zee.
Tunataka Generation mpya.

Zama za akina Wambura, Rage, Karia, Mayay zimeshapita...hawawezi kwenda beyond.

Hapo Federation wakae Vijana.
Uzoefu wa miaka 15 ni kigezo cha kichoyo sana....Injinia Hersi kaja hapo Yanga akiwa hana experience kivile....na ameweza.

Angalieni bodi ya ligi imejaa mazee...
Maakina Mguto, Kasongo,
Yameharibu kabisa.
 
Sasa mtu kama Ally Mayay Tembele ana uzee gani! Au unafikiri Shirikisho la mpira wa miguu ni kama uvccm, au bavicha!!

Jambo la muhimu kwa Wajumbe wa TFF ni kuhakikisha safari hii wanaachana na wanasiasa kama Wallace Karia na genge lake! Na badala yake wachaguliwe watu wenye mpira wao! na ambao watasimama kwenye sheria, kanuni na maslahi ya wachezaji.
 
Ally Mayai Tembele amenyooka, ni msomi , ni mwanasoka na hana usimba na uyanga. Chukua form ukahombee nafasi ya ukaria.

Wengine ambao Nina Imani nao ni Dominic Salamba, Hans Raphael, Maestro, na mbwaduke kwenye nafasi ya utendaji na bodi ya Ligi.

Nawasilisa

View: https://youtube.com/shorts/BYTuy6-nbYw?si=RmflJPGHxyXla7hn

Mwajiriwa wa Serikali.....labda wampe likizo bila malipo....Takukuru wanaingia kazini TFF uongozi wote najua chalii....wagombea watakuwa huru hao wezi Karia na Kidau na genge lao wataasibikaaaa mahakamaniiii
 
Vijana wengi hasa wa Kitanzania ni hovyo sana. TFF ilijengewa msingi imara na Tenga ambae sio kijana. FIFA na kwingineko huko viongozi sio vijana. Hata hivyo, kigezo sio umri bali sifa za mhusika.
 
So far, Tembele hana mpinzani pale, labda asiutake yeye mwenyewe. Hata wakati anauchambua mpira alikuwa anaongelea mpira sio ushabiki wa timu. Hii ni tofauti na Jemedari, Jefu au wale wa East Africa FM na Juma

We jamaa ni kiazi sana, kwenye kupendekeza hapo umetaja machawa wa hersi kua wanaweza kua na sifa za urais hapa kwenye koment umewakandia akina jemedari na Jef kua wanachambua kishabiki

Ujioni kua akili Yako ni fyatu
 
Ally Mayai Tembele amenyooka, ni msomi , ni mwanasoka na hana usimba na uyanga. Chukua form ukahombee nafasi ya ukaria.

Wengine ambao Nina Imani nao ni Dominic Salamba, Hans Raphael, Maestro, na mbwaduke kwenye nafasi ya utendaji na bodi ya Ligi.

Nawasilisa

View: https://youtube.com/shorts/BYTuy6-nbYw?si=RmflJPGHxyXla7hn

Huyu kibamba si alikuwa DED Mwanza ? Huku imekuaje?
Solomon kibamba ( PS& PA) UDSM
Jamaa alikuwa bingwa wa kusoma vichwa vya habar vya magazeti bila kununua huyu
 
We jamaa ni kiazi sana, kwenye kupendekeza hapo umetaja machawa wa hersi kua wanaweza kua na sifa za urais hapa kwenye koment umewakandia akina jemedari na Jef kua wanachambua kishabiki

Ujioni kua akili Yako ni fyatu
Kaka hapa nchini ni vigumu sana kumpata mtu, mwandishi,chambuzi, mchezaji, mbunge, waziri, au Rais wa nchi ambae hashabikii Simba au Yanga, lakini hii isimfanye kiongozi au mchambuzi aegemee upande hata pale ambapo watu hawategemei usimba na uyanga kutumika kuusemea mpira au kuamua kwaajili ya mpira.
 
Sasa mtu kama Ally Mayay Tembele ana uzee gani! Au unafikiri Shirikisho lampira wa miguu ni kama uvccm, au bavicha!!

Jambo la muhimu kwa Wajumbe wa TFF ni kuhakikisha safari hii wanaachana na wanasiasa kama Wallace Karia na genge lake! Na badala yake wachaguliwe watu wenye mpira wao! na ambao watasimama kwenye sheria, kanuni na maslahi ya wachezaji.
Wakichaguliwa hao wenyeMpira wao hawataingiliwa kimaamuzi na CCM?
 
Wakichaguliwa hao wenyeMpira wao hawataingiliwa kimaamuzi na CCM?
Simba na Yanga ni sehemu ya usalama wa nchi, sio Kila mhuni anaweza kuwa kiongozi wa Simba na Yanga, kuingiliwa kwa viongozi wa Yanga na Simba na TFF watakaoharariaha amani lazima kutakuwepo tu. Mfano, timu za bara kushiriki kombe la mapinduzi ni siasa tupu, hakuna kiongozi wa Simba, Yanga au TFF mwenye ubavu wakusema NO kushiriki.
 
Kwenye nafasi ya uenyekiti wa TFF nawapendekeza Tigana Lukinja, Jemedari Said, secretarybird GENTAMYCINE, Herbogasti Miayaluko (dogo fulani yuko pale East Africa redio)

Hawa wote ni watu amabao hawana chembe ya biasness, wako very strict kwao nyeupe ni nyeupe nyeusi ni nyeusi.
 
Siku moja nilimuuliza Masingiza, CEO wa Yanga kwanini unaacha kazi, akanijibiu mpira wenu ni wakisiasa sio wa kutafuta mafanikio na faida kwa club , siasa ni nyingi kuliko uhalisia wa mapato na matumizi ya timu. Juzi nasikia Ally kamwe anasema hawajalipwa zawadi kwa miaka 3 nikaelewa alichosema masingiza
Wakati wa Leodgar Tenga, mambo ya siasa za ccm, na uyanga na simba havikutamalaki kama ilivyokuwa kwenye uongozi wa Jamal Malinzi na huyu Wallace Karia.
aj
 
Back
Top Bottom