StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Ni kwa sababu kwa sasa CCM wanahitaji watu kuliko wakati mwingine wowote ule na wameona Watz wengi wapo mpirani hivyo sioni Uhuru wa kimaamuzi wa TFF pasipo kuingiliwa na CCM. Yatakuwa haya haya tu,labda Reforms zikifanyika!Wakati wa Leodgar Tenga, mambo ya siasa za ccm, na uyanga na simba havikutamalaki kama ilivyokuwa kwenye uongozi wa Jamal Malinzi na huyu Wallace Karia.