Ally Mayai kugombea Urais wa TFF, nakupendekeza

Wakati wa Leodgar Tenga, mambo ya siasa za ccm, na uyanga na simba havikutamalaki kama ilivyokuwa kwenye uongozi wa Jamal Malinzi na huyu Wallace Karia.
Ni kwa sababu kwa sasa CCM wanahitaji watu kuliko wakati mwingine wowote ule na wameona Watz wengi wapo mpirani hivyo sioni Uhuru wa kimaamuzi wa TFF pasipo kuingiliwa na CCM. Yatakuwa haya haya tu,labda Reforms zikifanyika!
 
Kolo huyo anaugua ugonjwa ujulikanao karialism maana mashambulizi waliyopelekewa na yanga yamewaacha hoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…