[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Sasa ni muda TFF kuongozwa na Ally Mayai Tembele
Walisha mkata tayari. Alitegwa akaingia king.....sasa wanasema ati ''alianza kampeni mapema'', kinyume cha kanuni, sheria na taratibuSasa ni muda TFF kuongozwa na Ally Mayai Tembele
Wew ulipata division ngapi form 4Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza tff??
Mkibisha hii naleta jingine.
Kwa nini usingeandika tu kiswahili?? Kudedicate muda kwenye soka ndo kufanyaje?? Neno dedication limeingiaje ktk sentensi yako??Alipata zero kwa kudedicate muda wake kwenye soka...
Unaishi namtumbo na kutegemea redio masafa ya AM.Walisha mkata tayari. Alitegwa akaingia king.....sasa wanasema ati ''alianza kampeni mapema'', kinyume cha kanuni, sheria na taratibu
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza tff??
Mkibisha hii naleta jingine.