Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

mayayi alipata 0 a level na si o level,cbe kasoma advance dip. bus ad(ADM)
 
Elimu si sifa ya kuongoza mulize bashite mbana ni mkuu wa mkoa
 

Sikutegemea Kama Malinzi atakuja Na siasa za kizamani..

Ali alianza certificate, Diploma, mpaka Advance Dip..

Na alikua Rais wa chuo.

"No investigation no right to speak"..
 
Unazingua! Kama huna uhakika na sources zako u better shut up. Leta sources bro.
 
Acha kutumika wewe!? Kama huna uhakika ni iv au vi wewe ni muongo njaa zinakutesa
 
Sikutegemea Kama Malinzi atakuja Na siasa za kizamani..

Ali alianza certificate, Diploma, mpaka Advance Dip..

Na alikua Rais wa chuo.

"No investigation no right to speak"..
Kwani malinzi ndie pekee anaegombea nae? Unaweza kuta mshindani wa malinzi akawa wala sio huyo Mayay hivi uwaoni kina madega na nyamlani! Huyo mayay mnamshabikia nyie msiopiga kura wenzenu uko hawana hata time nae.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar ana zero kabisa ila anawaendesha kama kiberenge kibovu
 
MBA unayo ndio hatukatai, ila kuandika hujui pia. Kajifunze kuandika na MBA yako.
Wakati nafanya degree 2001 ya kwanza nadhani ulikuwa unanyea poti.. Na kuvaa pampers.. Ikutoshe tu am a senior member Hapa jf.

Kosa lako Leo una bleed bi Dada..una hasira hasiraaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…