Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Degree ya nini?Ally ana certificate ya biashara kutoka hapo chuo cha ngono CBE sijui hii Certificate aliipataje na yai lake. Asante Mama Ndalichako kwakuondoa upuuzi kama huu wa aliepata zero form4 kuwa na degree.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
mayayi alipata 0 a level na si o level,cbe kasoma advance dip. bus ad(ADM)
 
Elimu si sifa ya kuongoza mulize bashite mbana ni mkuu wa mkoa
 
Degree ya nini?Ally ana certificate ya biashara kutoka hapo chuo cha ngono CBE sijui hii Certificate aliipataje na yai lake. Asante Mama Ndalichako kwakuondoa upuuzi kama huu wa aliepata zero form4 kuwa na degree.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app

Sikutegemea Kama Malinzi atakuja Na siasa za kizamani..

Ali alianza certificate, Diploma, mpaka Advance Dip..

Na alikua Rais wa chuo.

"No investigation no right to speak"..
 
Unazingua! Kama huna uhakika na sources zako u better shut up. Leta sources bro.
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
Acha kutumika wewe!? Kama huna uhakika ni iv au vi wewe ni muongo njaa zinakutesa
 
Sikutegemea Kama Malinzi atakuja Na siasa za kizamani..

Ali alianza certificate, Diploma, mpaka Advance Dip..

Na alikua Rais wa chuo.

"No investigation no right to speak"..
Kwani malinzi ndie pekee anaegombea nae? Unaweza kuta mshindani wa malinzi akawa wala sio huyo Mayay hivi uwaoni kina madega na nyamlani! Huyo mayay mnamshabikia nyie msiopiga kura wenzenu uko hawana hata time nae.
 
MBA unayo ndio hatukatai, ila kuandika hujui pia. Kajifunze kuandika na MBA yako.
Wakati nafanya degree 2001 ya kwanza nadhani ulikuwa unanyea poti.. Na kuvaa pampers.. Ikutoshe tu am a senior member Hapa jf.

Kosa lako Leo una bleed bi Dada..una hasira hasiraaaa
 
Back
Top Bottom