Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Nasema mkibisha hilo la kupata 0 nitatoa lingine kubwa..msinipimie...nimechokoza mada..Nina data..
Toa hizo data kamaunavyotamba.

Uwoga unatoka wapi ndugu..? weka vitu vyote hadharani.
 
Sports ni kipaji sio matokeo ya darasani..anataka kuongoza kitu anachokijua..zero sio point apo..anajua mpira ni nin
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza tff??

Mkibisha hii naleta jingine.
Mbona Bashite anaongoza WASOMI na watu wenye vyeti na nafasi kubwa serikalini, sembuse ally kuongoza MPIRA ambao kacheza...ww km Malinzi kakutuma mwambie tumekataaa
 
Alifeli ana decision 0 hawezi kuongoza TFF..msituletee mambo ya abajalo Sinza Hapa.tff ni kitu kikubwa.
Huyo aliefaulu kafanya nini? Kafaulu darasani lkn kwenye utendaji ni zero
 
Freeman Mbowe wa CDM kazidiwa ki elimu na kina Lisu, Zitto et al.. Lakini yuko very smart kuzidi hio mijamaa yote..hapa suala la kuweza na kuongoza kwa weredi basi ili soka letu lisonge mbele.
 
Wapambe wa malinzi wakilisikia jina la Ally mayai tembele mishapi ya anasi inawalegea.


Hakika Mayai ni kiboko ya malinzi.
 
Ikutoshe tu Nina MBA
Mkuu umeulizwa ulipata ngap kidato cha nne,
Mbona kama umepanic hiv..?
Mwigulu Nchemba alifeli darasa la 7, sasa hiv ana shahada ya uchumi mpaka kijani wenzake wanamtegemea.
 
Back
Top Bottom