Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0Kwani mtu akipata zero ndo hawezi kuongoza? Mbowe wa Chadema alipata zero....Ole Sendeka wa CCM alipata zero na wote hao wanaongoza vzr tu so tutegemee mazuri toka kwa Ally Mayay
Halafu ikwaje?Alipata zero kwa kudedicate muda wake kwenye soka...
0Labda pale Central, maana alichezea CDA huku akisoma. Ila sina hakika kama alipata zero.
Hao ni Mabashite wanateteanaKwa nini usingeandika tu kiswahili?? Kudedicate muda kwenye soka ndo kufanyaje?? Neno dedication limeingiaje ktk sentensi yako??
0Sasa tatizo ni nini? OK! Tu - assume weye una "one"! Umeleta faida gani Tanzania zaidi ya kujaza choo? Moron! Hivi ni nani huwa anawatuma m-propagate u pompompoo?
0hii kampeni ya sijui form four au form six zero itafeli vibaya sana kwa wana malinzi!!
Hiyo bila shaka ni ya makaratasi tu kichwani hamna!Ikutoshe tu Nina MBA
Degree ya nini?Ally ana certificate ya biashara kutoka hapo chuo cha ngono CBE sijui hii Certificate aliipataje na yai lake. Asante Mama Ndalichako kwakuondoa upuuzi kama huu wa aliepata zero form4 kuwa na degree.Huyu ni muhitimu wa Degree Na alikua Rais wa Chuo cha CBE Dar..
Siasa za majitaka hizi.
0Uwezo wa kipambanua na kuleta ufanisi ndio mambo tunayotaka sio jamaa amejaa ubabaishaji tu, haeleweki anavision gani? Elimu sio kigezo angalia maprofesa uchwara tulionao na na wametufikisha wapi kwa kigezo chako cha elimu
Salute [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwani mtu akipata zero ndo hawezi kuongoza? Mbowe wa Chadema alipata zero....Ole Sendeka wa CCM alipata zero na wote hao wanaongoza vzr tu so tutegemee mazuri toka kwa Ally Mayay
0Hata uweke nini, Hilo tayari tunajua, Tumeshasema wanasoka ni Ally Mayai Tembele!
acha upuuzi wako, kwani malinzi alifaulu? kama alifaulu mbona kaliua shirikisho?
hivi vita dhidi ya Ally Mayayi mbona vinakuzwa kijinga sanaa? nini mnamuofia?
Julio kaishia la Saba na Mayai ana Yai form4 kwa hiyo Julio lazima amuheshimu Mayai kielimu.Tembele ndo tunamhitaji....Julio amesema ameshndwa kugombea kwakua tembele ana elimu kuliko wao sasa sijui hiyo baste umeitolea wapii
We jamaa toka kanda ya kikabila tuache, tafuta lingine hilo limeshakataliwaNasema mkibisha hilo la kupata 0 nitatoa lingine kubwa..msinipimie...nimechokoza mada..Nina data..
Ulitaka aingie uwanjani kufunga magoli,na huo mpira umefelije?Kama Malinzi alifaulu mbona mpira wa bongo kaufelisha??
Kutuletea Noah kutoka kwenye makinikiaUsomi wako wa MBA umesaidia nn taifa letu