Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Kama kweli alipata na hajaikana kwa kufoji cheti hakuna tatizo. kanuni kama inasema leta cheti cha form 4 hara kama kina zero ni cheti cha form4. labda kama wameweka sharti la pass mark.

kufeli darasani haimaniishi wewe ni kichaa.
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
So what?
 
Mbona bashite alipataga ziro lakn yupo boma
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
Uoni hiv unazid kumpigia kampeni?
 
umetumwa?..kwa taarifa yako Aly ndo rais wa TFF ajae
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.

Wakati ww unataka kujua matokeo ya ally mayai kwanini muda huo usitumie kutupa matokeo yako ambayo una uhakika nao
Acha uzwazwa Ally Mayai for TFF
 
Back
Top Bottom