Hongera zakeWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Alli Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3.
Alli Mayay ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, ataiwakilisha #Tanzania katika Bodi ya CABOS akiwa Mjumbe Mwakilishi wa Bara la #Afrika.
#CABOS ni Chombo cha kumshauri Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola na Serikali Wanachama kuhakikisha kunakuwa na ushirikishwaji thabiti wa Serikali na Uwakilishi katika maendeleo ya Sera na Utekezaji wake.
Shule ipo?Amri kiemba naona ana maono ya mpira kuliko mtu yoyote anayeishi Tanzania sema kila mtu na bahati yake
Sema vyeti vipo?
Sio Kama anayejiita Jemedari SaidNdo matunda ya kujikita kwenye weledi.
Kwani ali mayai anashule gani yeye na kitenge walipata zero mmoja form six mwingine form 4 labda kama ali re sit mtihani ila kiemba hajajiendeleza sana japo anasoma short course niliona juzi kati alienda marekani kwenye mafunzo akimaliza atakuwa mtu sahihi kwenye soka letu.
Ally Mayai ana shahada nadhani ya issue za marketing!Kwani ali mayai anashule gani yeye na kitenge walipata zero mmoja form six mwingine form 4 labda kama ali re sit mtihani ila kiemba hajajiendeleza sana japo anasoma short course niliona juzi kati alienda marekani kwenye mafunzo akimaliza atakuwa mtu sahihi kwenye soka letu.
Hapana anza kusoma comment yangu ya kwanza sija mdisqualify nimetoa tu mtazamo wanguAlly Mayai ana shahada nadhani ya issue za marketing!
Hata hivyo huna sababu ya kum- disqualify Ally kisa unampenda Kiemba.
Kwamba akina Edgar Tenga, Nkamia, MO, Hersi, nk hawaoni ndani?Amri kiemba naona ana maono ya mpira kuliko mtu yoyote anayeishi Tanzania sema kila mtu na bahati yake
Kwani ali mayai anashule gani yeye na kitenge walipata zero mmoja form six mwingine form 4 labda kama ali re sit mtihani ila kiemba hajajiendeleza sana japo anasoma short course niliona juzi kati alienda marekani kwenye mafunzo akimaliza atakuwa mtu sahihi kwenye soka letu.
Mkuu hiki Kiingereza kinataka kufanana na kile cha yule cha Dr. wa Kemia.Ally mayai ni kijana smart na intelligence
Huwa namkubali sana huyu RASTA!Amri kiemba naona ana maono ya mpira kuliko mtu yoyote anayeishi Tanzania sema kila mtu na bahati yake
Raha ya JF, hata kama una machukizo, ukiingia hapa hutakosa cha kukuchekesha!Mkuu hiki Kiingereza kinataka kufanana na kile cha yule cha Dr. wa Kemia.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Amri kiemba naona ana maono ya mpira kuliko mtu yoyote anayeishi Tanzania sema kila mtu na bahati yake
Maana kama shule huyo Mayai alitwanga sifuri,
Sana kumbe hujamfatilia huyu mwamba