WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Nadhani shule yake huenda ya kawaida,, yaani hakupiga vidato vya kutosha...ila kichwani yuko vizuri mno...Amri kiemba naona ana maono ya mpira kuliko mtu yoyote anayeishi Tanzania sema kila mtu na bahati yake