WAKO WAPI WATU WAKO JF-Expert Member Joined Sep 26, 2017 Posts 2,373 Reaction score 3,139 Mar 11, 2023 #21 pwilo said: Amri kiemba naona ana maono ya mpira kuliko mtu yoyote anayeishi Tanzania sema kila mtu na bahati yake Click to expand... Nadhani shule yake huenda ya kawaida,, yaani hakupiga vidato vya kutosha...ila kichwani yuko vizuri mno...
pwilo said: Amri kiemba naona ana maono ya mpira kuliko mtu yoyote anayeishi Tanzania sema kila mtu na bahati yake Click to expand... Nadhani shule yake huenda ya kawaida,, yaani hakupiga vidato vya kutosha...ila kichwani yuko vizuri mno...
SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Mar 11, 2023 #22 Wengi wanaopata nafasi za uongozi serikalini huwa wanatambuliwa mapema sana. Usishangae kukuta Ally Mayai alikuwa mtumishi toka kipindi anachezea Yanga. Ukiona mtu yuko vizuri halafu anapitwa kila siku ujue huyo si mtu wao.
Wengi wanaopata nafasi za uongozi serikalini huwa wanatambuliwa mapema sana. Usishangae kukuta Ally Mayai alikuwa mtumishi toka kipindi anachezea Yanga. Ukiona mtu yuko vizuri halafu anapitwa kila siku ujue huyo si mtu wao.