Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Aliyewahi kupendekeza Hayati Magufuli aongoza nchi zaidi ya awamu 2 amerudi tena na mapendekezo ya Rais Samia kuongoza nchi kwa miaka 14 akidai miaka hii 4 ilikuwa ya Magufuli.
==
Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020) amependeeza Rais Samia agombee tena Urais baada ya kumaliza muhula wake 2030
"Rais Samia anakwenda vizuri zaidi na inafaa aongezwe tena mingine miaka 5, ile ya kwanza (miaka 4) anamalizia ya Magufuli, haimhusu anaingia Mitano hii akimaliza 2030 agombee tena, anaongeza ile ile 10, hii minne ni ziada"
Soma: Kupita bila kupingwa kunapenyezwa taratibu na CCM, tutashtuka ya 2020 yakijirudia tena