Aliyewahi kupendekeza Hayati Magufuli aongoza nchi zaidi ya awamu 2 amerudi tena na mapendekezo ya Rais Samia kuongoza nchi kwa miaka 14 akidai miaka hii 4 ilikuwa ya Magufuli.
==
Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020) amependeeza Rais Samia agombee tena Urais baada ya kumaliza muhula wake 2030
"Rais Samia anakwenda vizuri zaidi na inafaa aongezwe tena mingine miaka 5, ile ya kwanza (miaka 4) anamalizia ya Magufuli, haimhusu anaingia Mitano hii akimaliza 2030 agombee tena, anaongeza ile ile 10, hii minne ni ziada"

Huyu mzee mvuta bangi mdomo wake una nuksi kweli kweli alimuombea Magufuli atawale milele hata miezi mitatu hakumaliza akafa, sasa kumuombea Mama Abdul mitano tena anamchuria. Nimekaa pale.
Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020) amependeeza Rais Samia agombee tena Urais baada ya kumaliza muhula wake 2030
Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020) amependeeza Rais Samia agombee tena Urais baada ya kumaliza muhula wake 2030
Aliyewahi kupendekeza Hayati Magufuli aongoza nchi zaidi ya awamu 2 amerudi tena na mapendekezo ya Rais Samia kuongoza nchi kwa miaka 14 akidai miaka hii 4 ilikuwa ya Magufuli.
==
Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020) amependeeza Rais Samia agombee tena Urais baada ya kumaliza muhula wake 2030
Aliyewahi kupendekeza Hayati Magufuli aongoza nchi zaidi ya awamu 2 amerudi tena na mapendekezo ya Rais Samia kuongoza nchi kwa miaka 14 akidai miaka hii 4 ilikuwa ya Magufuli.
==
Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020) amependeeza Rais Samia agombee tena Urais baada ya kumaliza muhula wake 2030
"Rais Samia anakwenda vizuri zaidi na inafaa aongezwe tena mingine miaka 5, ile ya kwanza (miaka 4) anamalizia ya Magufuli, haimhusu anaingia Mitano hii akimaliza 2030 agombee tena, anaongeza ile ile 10, hii minne ni ziada"
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ya 1977 Ibara ya 40 (4), Upo Uwezekano wa Mtu kushika madaraka ya uRais kwa zaidi ya miaka kumi (10) hapa Tanzania kulingana na scenario yenyewe.
Mathalani, endapo kama Rais Magufuli angekufa Mwaka 2023, Basi huyu SSH angeweza kuwa na Haki ya Kugombea Kiti Cha uRais mara mbili. Yaani angegombea Mwaka huu wa 2025 na kushika madaraka ya uRais kuanzia Mwaka 2024-2025( miaka miwili), 2026-2030(miaka mitano), 2031-2035 (miaka mitano): Jumla ya miaka yote kabisa ya kushika madaraka ya uRais ingeweza kuwa ni Miaka 12.