Pre GE2025 Ally Mohamed Keissy: Rais Samia agombee tena Urais ikifika mwaka 2030, hii miaka 4 ilikuwa ya Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yule walisema aongeze akafa, huyu naye wanataka afe?
 

No Waonder JPM alimla kichwa. Pamoja na Uchawa huyu Mzee akili imechoka.
 
Hilo halina ubishi Muhula wa Dkt Samia unanzia 2025 hadi 2035 ambapo ndipo atakuwa amekamilisha term yake ya miaka 10.
 
Labda hawa ndio washauri wa Viongozi wetu sio ajabu taifa linapekwa tu kama Boti isiyokuwa na injini.
 
Halafu huyu mzee anaongea kwa kujiamini kabisa
 
Fikirieni na mabadiliko ya katiba, sio kufikiria mtu kukaa madarakani muda mrefu kwa vipindi shaghalabaghala bila hata kufanya mabadiliko ya katiba. Hii ndiyo fursa nzuri kwa Rais Samia kuipa nchi katiba mpya na itaondoa utata wa yeye kukaa madarakani muda mrefu kitata
 
Yule walisema aongeze akafa, huyu naye wanataka afe?

huyu hawezi kufa kwa sababu ni muislamu ana watetezi wa pande zote mbili ( waislamu na wapagani wajadi) wakati yule alikuwa Mkristo na hakuwa na mtetezi, ndiyo maana Wakristo wote wamekufa, wamebakia waislamu halafu wanawa gaslight Wakristo kwamba kuna mfumo kristo kwamba wao ni victim wakati in actuality victim hapa ni Mkristo wa tanzagiza, yeye ndiye anahitaji Ukombozi, R.Mengi ameenda alipigwa vita akakosa mtetezi, Lowasa ameenda, Mkapa ameenda, Nyerere alienda, wakati waislamu wote (karibia) bado wapo kuanzia akina salimu a salim mpaka hawa wa sasa …
 
Hawezi kufa?
 
Huyu mzee ni baba wa rafiki yangu, jamaa aliona hii clip nikiwa nae akawa anatukana tu
 
ni muislamu ana watetezi wa pande zote mbili, hivyo hawezi kufa …
Muislamu au mtu anayetumia hoja ya "ni Muislamu" anatakiwa ajue kwa dini ya Kiislamu kusema mtu "hawezi kufa" ni kufuru.

Ni kama vile unasema "Amemshinda Mungu na kujihakikishia kifo hakiwezi kumfika".

Pia, huelewi kuwa hawa watu wengi wa kwenye serikali wanaojifanya Waislamu na Wakristo kiukweli hawana dini kabisa.
 
Hilo halina ubishi Muhula wa Dkt Samia unanzia 2025 hadi 2035 ambapo ndipo atakuwa amekamilisha term yake ya miaka 10.
She has done wonders in the past four years na akipiga hasi 2030 itakua kheri na yeye akapumzike with honors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…