Ally Sykes: Soldier, Musician, Trade Unionist, and Businessman THURSDAY JUNE 20 2013 email print Al

Ally Sykes: Soldier, Musician, Trade Unionist, and Businessman THURSDAY JUNE 20 2013 email print Al

Mkubwa wangu Mohamed Said hizi habari za kutoka kwenye kitabu chako?

Navitafuta vitabu vyako nivisome.

Nimesoma "Nyerere: The Early Years" cha Dr. Thomas Molony wa Edinburgh, lakini najua wewe utakuwa una access na archives za wazalendo maradufu.

Kwa watu walio North America vitabu vinapatikana wapi? Au mpaka kutuma watu wanunue nyumbani na kututumia huku?

Inasikitisha sana kuona habari za mwaka 1952 hazijaandikwa sana.

Tunapitwa hata na kina Herodotus na Thucydides walioandika "History" na "The History of the Peloponnesian War" miaka mingi kabla ya kuzaliwa Yesu.

Au hata Plutarch aliyemuandika Kaizari.

Sisi 1950s tu ukungu.

Shukurani kwa kujaribu kuondoa ukungu huu.
 
Mkubwa wangu Mohamed Said hizi habari za kutoka kwenye kitabu chako?

Navitafuta vitabu vyako nivisome.

Nimesoma "Nyerere: The Early Years" cha Dr. Thomas Molony wa Edinburgh, lakini najua wewe utakuwa una access na archives za wazalendo maradufu.

Kwa watu walio North America vitabu vinapatikana wapi? Au mpaka kutuma watu wanunue nyumbani na kututumia huku?

Inasikitisha sana kuona habari za mwaka 1952 hazijaandikwa sana.

Tunapitwa hata na kina Herodotus na Thucydides walioandika "History" na "The History of the Peloponnesian War" miaka mingi kabla ya kuzaliwa Yesu.

Au hata Plutarch aliyemuandika Kaizari.

Sisi 1950s tu ukungu.

Shukurani kwa kujaribu kuondoa ukungu huu.

Al Watan,
Hizo habari ni mchanganyiko kutoka maisha ya Abdul Sykes kama nilivyoandiika
katika kitabu chake na vilevile habari kutoka mswada wa Ally Sykes ambao bado
haujachapwa, ''Under the Shadow of British Colonialism: The Life of Ally Sykes.''

Hebu angalia hapo chini:
  1. PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  2. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  3. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  4. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  5. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  6. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  7. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
  8. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  9. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
  10. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  11. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  12. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  13. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  14. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  15. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  16. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  17. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  18. 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  19. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
  20. Awards: Several Awards.
  21. Visiting Scholar: (2011)
  22. University of Iowa, Iowa City, USA
  23. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
  24. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
Ouchvsl9Wtt1hambu4s6PjoRk9zS1j1FyCS7UCOhevT3vdKKVlycvIS88POoynV5op7bo2KKs2Rz3VjYo6kuBhLSyNWhfEMXAmzlj2XIhx_5-JoQ7ot5T6I_g53mARULWlpBo5RoMflgPcscvnY_YwTX8J1Q1sRLOMxsOiDFH3obvyn07VRODbKZi9zJdFlVxbdZrdp3XFj7RqzN7O6xpvnjPjgu6oF8G9fL0nT_l9lvonAHdA_ZIhoYgLTiTrdHDTLfzcgsbmO5APwq3eVlsZcnHuIqtLHLnbYm3U91YvgrRLTXVQcf-ePrIrvQDaQ1qly7jC-L6Z8krnTqqaaWo_HFcL7iWWzh6fEG1SxNlUYsJ-zUujMCcQKp__qLC9ZGtbK0ThDHS-CA1EsNIAZYSPAiX7O3G8mxqdMXGgn4Jrowik_fO6_TbIadfpeVffrpgqWP1-QAZNu2R1uWo5vrZwVOFMBVXv-KZz-FeLM2GJ1XhEdxrSuLpurKOqHRG9_y_DJ_xHyPAR1VEkE9cGG1qkhYU82Zz3FLHaCymZJIvhuBPhE68LcliUYmHYtcOFGTM8Lw8EM4Y7PelY3n0c7DI1nmv4dwiasGC8e1G2RsQtVRD04IVTnO3QNH=w940-h629-no

Mwandishi akiwa Library of Congress, Washington DC

Jaribu kutafuta hizo ''paper,'' Library of Congress, Washington ikiwa bado zipo na maktaba nyingine huko katika African History.
 
Ahsante sana Sydney, umefanya nikumbuke mengi ya nyuma hasa wazazi wetu walivyahangaikia [TANU]kuchangishana pesa kuhamasishana kuingia tanu[sijui kama unakumbuka kuwa bibi zetu na mama zetu walikuwa na mwamko mkubwa wa siasa na hawakuwa waoga kabisa. Leo hii ukiondoa wewe unavyotukumbusha, hakuna mwingine yeyote aliye kwenye chama ambacho ni mtoto wa TANU anasema lolote lile kuhusu historia yetu. wakati naandika haya vichozi vya simanzi vinanitoka.
Sijui ni lini viongozi wetu wataamka na kuweka historia yetu vizuri? Hata sijui Mzee Kinana [ambaye nimesikia kuwa hata wazazi wake nao walifanya hivyo huko kaskazini.] Anafikiria nini? Sijui! sijui ! Lakini nikwambie Mohamed, kwa juhudi ambazo unazifanya tukumbuke tulipo toka, mungu atakuweka hai uone mwenyewe [ili uweze kuwahadithia wazee hao waliotangulia] Kukubalika rasmi kwa historia halisi ya mapambano ya kutaka uhuru nchini kwetu ili simanzi zao zitulie.
na kuona siku ambayo h
Abunwasi,
Wazee wetu wamejikusanya katika tawi lao la TANU miaka ya 1950s wapo
hapo na Bi. Titi Mohamed kwenye tawi aliloasisi Ali Msham Magomeni
Mapipa:

srjTMSFT35nJNjNUj8-dYCI9nP4mIModn6NQL-RRjkBl_AqPVUTsFB0-Gi16CJxyvAxPPWGJAh-dckA0iNMF1r5Us_Nh4JfADrOpY00AOq_eFaoLl9K6YFZm4wJ-H37YC2sEPxF-haPKxZxCtPU7uvtTFJhxVPkuCXkhMZDV707IblA5zDwWR0Hoo9NvJKeRTmq5zkiRAm-eDVFBaiCOTt-IUeg0n8EzTtw5KE-tKjrfuAm67i7Y7g7UP9WqJHDdZ1jSLoBWoLPtw5iayaby7JqWTMAjWy6Igp97oWunAVjf7pbcOI4hhJ1gzeBu5qfTZLo-QZCuBPnCNrNeoQk1-spdAV5sQe2Zho-ZIBWz6fxl12WIRV4_IUraqexLVzpZgyP25CQ4fvqMz-MjjXdeNcXzzpO7BQYjHplUhXAr7pMi4QFXEZZ-ZuqloycNL5xiweDYIX_iNHZefPcF3viQzxIfLVgFQrCCDtqBPEmYI56Y9jcIbNIH62Q9yVMIrwewGCSMBAmBgtokIMQ6BDgnBIFbIn-HTnEKBC60vrlKz6YTskB9murckTZ6CUrsHtZ8nXlbnHrXuS4Chn1z9YvVQ43ynv--kxwjm8CPTaPzDbfvXP_VGu7gXNeSXQ=w429-h297-no

Kulia wa nne ni Bi. Titi Mohamed
 
Back
Top Bottom