Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Mkubwa wangu Mohamed Said hizi habari za kutoka kwenye kitabu chako?
Navitafuta vitabu vyako nivisome.
Nimesoma "Nyerere: The Early Years" cha Dr. Thomas Molony wa Edinburgh, lakini najua wewe utakuwa una access na archives za wazalendo maradufu.
Kwa watu walio North America vitabu vinapatikana wapi? Au mpaka kutuma watu wanunue nyumbani na kututumia huku?
Inasikitisha sana kuona habari za mwaka 1952 hazijaandikwa sana.
Tunapitwa hata na kina Herodotus na Thucydides walioandika "History" na "The History of the Peloponnesian War" miaka mingi kabla ya kuzaliwa Yesu.
Au hata Plutarch aliyemuandika Kaizari.
Sisi 1950s tu ukungu.
Shukurani kwa kujaribu kuondoa ukungu huu.