Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Binafsi sikuwaga na Mambo ya mapete,mababu na mababa zetu wamezekeana bila hizo mambo ya kilimbukeni ya kimapete kumpa padri hela ama wauzaji,iweje mie ndie nitoke kwa nature.Ishu siyo kupigwa goti ishu hapo ni hiyo kuvishana pete,hivi haya mambo ya kishenzi shenzi mmeyarithi kutoka wapi?
Unamvalisha pete ili iweje na kwa faida ipi?
Ndoa kiafrika tunaishi swafi Kama ambavyo baba wa babu waliishi miaka iyo zamani before ya mkoloni. Waafrika bana mtt akiongea English anajisifia anaona Kama amesomesha mno