Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Itakuwa vizuri, makelele na mambo ya kijinga jinga yamezidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatafutwa sope mtoa matusi...Naona anawindwa Comedian Kispika
Huyo Kasongo bwege kweli.Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari.
“Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na kujiuliza, huyu ni kiongozi wa timu au mchekeshaji? Niseme tu ndugu zangu, msimu ujao tutadili na watu hawa kwa kuwapa adhabu” —— amesema Kasongo.
Ally Kamwe naye ana mdomo mchafu tena hana adabu kabisa kumbuka ishu yake na kumlinganisha na andazi. Kwa ujumla wote hao wanne uliowataja wabadilike utani uwepo lakini isifike kukashifiana.Naweka mbele weledi katika kazi yeyote.
Ila soka letu bila kelele au vichekesho (sio matusi) vya hawa wasemaji na mashabiki hamna lolote.
Taratibu zifuatwe, ila sisi kwenye pitch bado sana.
Ni kelele tu zinatengeneza fans base kubwa katika soka letu.
Utaratibu huu ikifutwa:
1. Manara nampa wiki tu watamla kichwa.
2. Ahmed Ali miezi mitatu inamtosha, japo anabadilika badilika kulingana na upepo.
3. Ibwe nae anapaswa kujiangalia, haka kajamaa nako kana maneno machafu sana.
4. Ali Kamwe yupo safe kabisa katika hili.
Yupo sawa kabisa.Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari.
“Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na kujiuliza, huyu ni kiongozi wa timu au mchekeshaji? Niseme tu ndugu zangu, msimu ujao tutadili na watu hawa kwa kuwapa adhabu” —— amesema Kasongo.
Nilikua nimesahau, kumbe naye ni mshenzi mshenzi.Ally Kamwe naye ana mdomo mchafu tena hana adabu kabisa kumbuka ishu yake na kumlinganisha na andazi. Kwa ujumla wote hao wanne uliowataja wabadilike utani uwepo lakini isifike kukashifiana.
Kama kipindi cha michezo.Huyu anataka watoa taarfa badala ya wanamichezo
Ni sawa kabisa kwa maana vitengo vilikuwa vimeingiliwa na waimba taarab kutwa nzima ni mipasho tu, badala ya kuongea kiuweledi unakuwa comedy si Bora ukaungane na wakina bambo!Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa kuajiri maafisa habari wenye elimu ya habari.
“Kuna Muda unamsikiliza Ofisa Habari wa timu na kujiuliza, huyu ni kiongozi wa timu au mchekeshaji? Niseme tu ndugu zangu, msimu ujao tutadili na watu hawa kwa kuwapa adhabu” —— amesema Kasongo.