Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Jesus Christ 🤦🏾♀ ndio maana Mungu amekusahau 😂 hebu mrudie bwana.Nisije nikaanguka mapepo maana mara yangu ya mwisho kwenda kanisani ilikua mwaka 2006
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jesus Christ 🤦🏾♀ ndio maana Mungu amekusahau 😂 hebu mrudie bwana.Nisije nikaanguka mapepo maana mara yangu ya mwisho kwenda kanisani ilikua mwaka 2006
Haha sidhani kama kuna watu wanajua kubishana kama raia wasio amini uwepo wa Mungu.[emoji23][emoji23][emoji23]sasa unanitenga tena wakati tulianza vizuri?
Hata yesu mwenyewe hakuja kwaajili ya wenye haki. Alikuja kuwaokoa waliopotea.
Huenda ukawa ni njia ya kunifanya nikamrudia bwana
Tatizo ni kuwa huenda ni neno lipo ndani yangu na inabidi litimilike? Au hujui kuwa kila kinachotokea ni mipango ya Mungu?Haha sidhani kama kuna watu wanajua kubishana kama raia wasio amini uwepo wa Mungu.
Sasa kama wajua Yesu alikuja kwa ajili ya wakosefu kwanini usimsadiki? Nitakuombea Roho mtakatifu akutembelee.
Usiishie hapo, endelea kujitolea na mengineyo!Nimezingua nini? Mtu hana hata wa kum'wish goodnight jamani. Me nimejitolea tena naonekana mzinguaji?!! [emoji1787][emoji1787]