Aloyce Nyanda atishiwa kisa Machapisho ya Instagram

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Rafiki yangu mmoja kanitafuta leo asubuhi sana na kuniambia kaka kama unaniheshimu pumzika kuandika na kupost kitu chochote Instagram mpaka uchaguzi mkuu upite, nilipomuuliza sababu akasema nitakueleza baada ya uchaguzi mkuu, akakata simu na hata nilipompigia hakupokea.” Mwandishi wa Habari nchini Alloyce Nyanda ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram Julai 27, 2025.
 
Watu hawana vipawa vya kuongoza bado wanang'ang'ania kufunga wapinzani, makanisa, waandishi na wanataka kusikia sifa tu, huu ni zaidi ya uhuni. Hata mazingira waliyojiwekea ya ushindi wa kihuni hawayaami. Hawa watu wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho na kimwili.
 
Hyo ni kazi ya redbrigade aka hamasa wazee wa kufinya..
Kwa maelezo zaidi rejea maelezo aliyoyatoa dk wenu slaa..
 
Serikali inayoongozwa na chama cha mapinduzi ipo makini sana kuhusu amani na haki za watanzania pamoja na kuwapo kwa matukio kama ya uchochezi na uhaini kama yale ya maudenda aliyepo sehemu salama.
Kwa wivu walio nayo kuhusu amani ya nchi ndyo maana yule maudenda wa kukinukisha akahifadhiwa sehemu salama ili asije haribu maisha ya watanzania kupitia uhaini wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…