Aloyce Nyanda atishiwa kisa Machapisho ya Instagram

Mmepanga kumteka lini?
Huyu aliyefunguliwa saloon Igoma, Mwanza, na anaishi kwa fedha ya mkewe mwenye ka microfinance?aliishi kwa upambe kwa Majaliwa, nadhani yeye na pole pole ni victims wa situation. Bado kuna hukumu dhidi yake alipe billions
 
Serikali inayoongozwa na chama cha mapinduzi ipo makini sana kuhusu amani na haki za watanzania pamoja na kuwapo kwa matukio kama ya uchochezi na uhaini kama yale ya maudenda aliyepo sehemu salama.
Kwa wivu walio nayo kuhusu amani ya nchi ndyo maana yule maudenda wa kukinukisha akahifadhiwa sehemu salama ili asije haribu maisha ya watanzania kupitia uhaini wake.
Ukitaka kujua shetani hana rafiki waulize, Pole pole, Nape, january, mangula, kinana , Yusufu na Salma Kikwete
 
Huyu aliyefunguliwa saloon Igoma, Mwanza, na anaishi kwa fedha ya mkewe mwenye ka microfinance?aliishi kwa upambe kwa Majaliwa, nadhani yeye na pole pole ni victims wa situation. Bado kuna hukumu dhidi yake alipe billions
Jina lako ni namba 12 kwenye orodha ya Watekaji, ndio maana nimeuliza mmepanga kumuua lini?
 
Mwaka huu mtakunyia sana..
Yaan mookangihaa, namang'ana mokohandoraa kela siku bhokeye nyamakundo..
Taghenderia bhokong'u..mokanyere ghano moghokora ngharabhahe ichikuraa?
Ndiyo maana abhapolisi bhakobhatacha kela siku maana moono obhokanghi bhono bhotana ubhushahidi.
Mkuu kilugha cha nini, unaficha nini??? Tupe tafsiri, la sivyo mkalimani anahitajika!!! Isijekuwa unatukana watu!
 
Serikali inayoongozwa na chama cha mapinduzi ipo makini sana kuhusu amani na haki za watanzania pamoja na kuwapo kwa matukio kama ya uchochezi na uhaini kama yale ya maudenda aliyepo sehemu salama.
Kwa wivu walio nayo kuhusu amani ya nchi ndyo maana yule maudenda wa kukinukisha akahifadhiwa sehemu salama ili asije haribu maisha ya watanzania kupitia uhaini wake.
Mkuu tutafsirie ujumbe wako wa awali ulioandika kwa kilugha ili tukuelewe vizuri.
 
Serikali inayoongozwa na chama cha mapinduzi ipo makini sana kuhusu amani na haki za watanzania pamoja na kuwapo kwa matukio kama ya uchochezi na uhaini kama yale ya maudenda aliyepo sehemu salama.
Kwa wivu walio nayo kuhusu amani ya nchi ndyo maana yule maudenda wa kukinukisha akahifadhiwa sehemu salama ili asije haribu maisha ya watanzania kupitia uhaini wake.
Umeulizwa hapo juu mmepanga KUUA watanzania wangapi?
 
Back
Top Bottom