Aloyce Nyanda atishiwa kisa Machapisho ya Instagram

Aloyce Nyanda atishiwa kisa Machapisho ya Instagram

Mwaka huu mtakunyia sana..
Yaan mookangihaa, namang'ana mokohandoraa kela siku bhokeye nyamakundo..
Taghenderia bhokong'u..mokanyere ghano moghokora ngharabhahe ichikuraa?
Ndiyo maana abhapolisi bhakobhatacha kela siku maana moono obhokanghi bhono bhotana ubhushahidi.
Kama Nyerere angelijua kuna siku wakurya watazaa wajinga kama wewe, angeigawa wilaya ya butiama ikawa mkoa mwingine na jeshini angewapunguza.
 
Kama Nyerere angelijua kuna siku wakurya watazaa wajinga kama wewe, angeigawa wilaya ya butiama ikawa mkoa mwingine na jeshini angewapunguza.
Hyo mipasho na mistari ya kitapeli ipo pale kwa TUNDU, ipeleke kule gerezani alikohifadhiwa sehemu salama
 
Mmezoea kujiteka na kutafuta umaarufu wa kijinga. Endeleeni na ujinga huo wa kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu
Mkuu kama usemacho nikweli basi pole sana kwa serikali yetu kupewa lawama za uongo.
Ila kama unaujua ukweli kwamba hawajiteki bhasi liwakute watu wa nyumbani mwako.
 
Jambo la muhimu nikwamba hata kiongoz akiwa mwema kama malaika hakosi watu watakao mchukia.
Na hata akiongoza vibaya kama shetani hakosi wafuasi.
 
Hizi ramli na kelele za vioja haziwezi kuyumbisha chochote..
Acheni kwanza ramli, tafuta njia sahihi ya kumtoa yule tapeli wa kisiasa kule gerezani acha kutapatapa
Ndugu nilichoandika hapo ni uhalisia na sio ramli! Saikolojia ya watu wa namna Yako na yenu huandika unachoandika Ila moyoni unaungua na kuumia! Anyway una Haki Yako kishetani kufurahia unachofurahia
 
Mmezoea kujiteka na kutafuta umaarufu wa kijinga. Endeleeni na ujinga huo wa kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu
Wewe bwege hata Polepole alikuwa na nyodo kama wewe akijiona yeye ndiye CCM leo kiko wapi anaishi kama digidigi kwa kujificha, kuna siku yatakukuta na lazima wakuingizie dudu kinyeoni bwege wewe.
 
Itakua amejiandaa kujiteka ni muda mrefu hatujasikia mtu katekwa. Wiki haipiti Utasikia Nyanda katekwa☺️
 
Serikali inayoongozwa na chama cha mapinduzi ipo makini sana kuhusu amani na haki za watanzania pamoja na kuwapo kwa matukio kama ya uchochezi na uhaini kama yale ya maudenda aliyepo sehemu salama.
Kwa wivu walio nayo kuhusu amani ya nchi ndyo maana yule maudenda wa kukinukisha akahifadhiwa sehemu salama ili asije haribu maisha ya watanzania kupitia uhaini wake.
Unaandika vitu mpaka baba yako kama yuko hai atasema dah nimemzaa Mwashambwa mwingine
 
Back
Top Bottom