Naomba unipe mbinu na connection za kuwa chawa pleaseHuyu aliyefunguliwa saloon Igoma, Mwanza, na anaishi kwa fedha ya mkewe mwenye ka microfinance?aliishi kwa upambe kwa Majaliwa, nadhani yeye na pole pole ni victims wa situation. Bado kuna hukumu dhidi yake alipe billions