chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,331
Hakuna hoja hapo, madako gakoJikite kwenye hoja puuzi wewe
Hakuna hoja hapo, madako gakoJikite kwenye hoja puuzi wewe
Unatafuta mkate wa siku wa njia ngumu sana! Aya, ushaingiza buku7 relax sasa uanze kutumia akiliSerikali inayoongozwa na chama cha mapinduzi ipo makini sana kuhusu amani na haki za watanzania pamoja na kuwapo kwa matukio kama ya uchochezi na uhaini kama yale ya maudenda aliyepo sehemu salama.
Kwa wivu walio nayo kuhusu amani ya nchi ndyo maana yule maudenda wa kukinukisha akahifadhiwa sehemu salama ili asije haribu maisha ya watanzania kupitia uhaini wake.
Kwa hiyo kilikuingia kwa tabu enh? Pole sanaHuyu jamaa ana kichwa kikubwa, sijui kama mwili wake hauchoki kukibeba
Kosa lake nini?Huyu jamaa ana kichwa kikubwa, sijui kama mwili wake hauchoki kukibeba
Akishamtaja?Amtaje jina huyo mtekaji au anamtunzia siri
Nyie hamna familia Duniani tunapita Nyerere yuko wapi aliyepigania uhuru?Serikali inayoongozwa na chama cha mapinduzi ipo makini sana kuhusu amani na haki za watanzania pamoja na kuwapo kwa matukio kama ya uchochezi na uhaini kama yale ya maudenda aliyepo sehemu salama.
Kwa wivu walio nayo kuhusu amani ya nchi ndyo maana yule maudenda wa kukinukisha akahifadhiwa sehemu salama ili asije haribu maisha ya watanzania kupitia uhaini wake.?
Rafiki yangu mmoja kanitafuta leo asubuhi sana na kuniambia kaka kama unaniheshimu pumzika kuandika na kupost kitu chochote Instagram mpaka uchaguzi mkuu upite, nilipomuuliza sababu akasema nitakueleza baada ya uchaguzi mkuu, akakata simu na hata nilipompigia hakupokea.” Mwandishi wa Habari nchini Alloyce Nyanda ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram Julai 27, 2025.
Mdude ndio nani?Kwa hiyo Mdude alijiteka mwenyewe ili kutafuta umaarufu??
Hizi ramli na kelele za vioja haziwezi kuyumbisha chochote..Mbwa Koko! Lazima abweke kupata makombo ya bwana wake! Hakuna binadamu aliyebaki salama yeye na uzao wake baad ya kumwaga Damu au kushangilia umwagaji WA damu isiyo na hatika sababu ya madaraka na umaarufu, fedha na utajiri. Shika.maneno Yako kwani kama sio wewe ni watoto wako! Hutaonja kaburi bila kuona haya yakitukia
Acha kubwatuka, nendeni kwanza mahakamani leo enyi vibaka na matapeli wa kisiasa!ndiyo faida ya mama yako kudaka mimba kwenye mkesha wa mwenge amefyatua chizi
HahahahahahahaaaaHahaha,
Huyo KERATO MOMBAA anashangaza na kudhalilisha wapenda haki wa Kanda Maalum. Huku ni kama Mbeya hakunaga machawa, sijui yeye aliingiaje kwenye huo mkumbo wa laana
Kumbe unamjua?Huyu aliyefunguliwa saloon Igoma, Mwanza, na anaishi kwa fedha ya mkewe mwenye ka microfinance?aliishi kwa upambe kwa Majaliwa, nadhani yeye na pole pole ni victims wa situation. Bado kuna hukumu dhidi yake alipe billions
Mnadhani mm ni kama nyie mnaopewaga hela za tone tone ambazo mnawatapeli watanzania?Unatafuta mkate wa siku wa njia ngumu sana! Aya, ushaingiza buku7 relax sasa uanze kutumia akili
Huyo mbona anajulikana sana, hata vihela vya harusi alichangiwa na wale nyumbu chadema wanaokaa na kubwabwaja pale kwa mzee chale mshona viatu almarufu kama kemondo..Kumbe unamjua?
We unakaa igoma sehemu gani?
😁😁😁😁Huyo mbona anajulikana sana, hata vihela vya harusi alichangiwa na wale nyumbu chadema wanaokaa na kubwabwaja pale kwa mzee chale mshona viatu almarufu kama kemondo..
Nyanda anajulikana sana!
hamna lolote hajui hata kuhoji muigizaji huyo.Mtaalamu wa mahojiano .
NyamhongoloKumbe unamjua?
We unakaa igoma sehemu gani?