Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
- Thread starter
-
- #21
ohhPole sana Classmate wangu SAUT Mwanza Edwin Soko na darasa letu la BAMC 2006 - 2009 ukiwa unakaa Hodtels za Malimbe na Mimi Hostels za Nsumba kwa Kukamatwa kwa Mwenzetu ( Mwanahabari ) Aloyce Nyanda.
Nimezipokea Taarifa hizi kwa Masikitiko makubwa sana hasa nikiamini kuwa Aloyce ni Mtu wa Maadili, Mwerevu na Makini zaidi Kiutendaji.
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
HaswaaahHiyo ndiyo ccm,utawajua kwa matendo yao.
Kwa hiyo wewe unakoroma kutoka nyuma ya trekta au?Wabongo kwa kelele hatujambo, mtu anakoroma nyuma ya keyboard kwa ID feki akitegemea amzuie mwarabu asiwekeze.
Jikotekeni kama Kenya kama hamuwezi msipige kelele
Bila shakaamekinzama na DP World ?
kama.wewe hahaaaaWabongo kwa kelele hatujambo, mtu anakoroma nyuma ya keyboard kwa ID feki akitegemea amzuie mwarabu asiwekeze.
Jikotekeni kama Kenya kama hamuwezi msipige kelele
Nape anachekelea huko alipoTaarifa ya kushikikiwa kwa Mwandishi Aliyce Nyanda
Nimepokea simu nyingi toka kwa waandishi mbalimbali juu ya kutaka kujua kama mwenzetu Mwandishi Aloyce Nyanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mwanza.
Ukweli ni kuwa, mwandishi mwenzetu aliitwa na jeshi la polisi na kushikiliwa kwa muda mchache na kuandikishwa maelezo kwenye kituo cha polisi.
Taarifa za ndani zaidi ni kuwa alikuwa anatuhumiwa kwa matumizi ya mitandao ya kijamii.
Baada ya kuandika maelezo aliachiwa ili aendelee na majukumu yake.
Tunaendelea kufuatilia jambo ili kama lina vina saba vya kuminya uhuru wa habari na haki ya kujieleza na pia usalama wake.
Edwin Soko
22.08.2023
Mimi Sina shida kwa vile siwezi imenibidi nikae kimyakama.wewe hahaaaa
Ungesomaga mPole sana Classmate wangu SAUT Mwanza Edwin Soko na darasa letu la BAMC 2006 - 2009 ukiwa unakaa Hodtels za Malimbe na Mimi Hostels za Nsumba kwa Kukamatwa kwa Mwenzetu ( Mwanahabari ) Aloyce Nyanda.
Nimezipokea Taarifa hizi kwa Masikitiko makubwa sana hasa nikiamini kuwa Aloyce ni Mtu wa Maadili, Mwerevu na Makini zaidi Kiutendaji.
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.