darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Kutoka kua mlinzi mpaka kugombea vyeo vya waliokua mabosi wake ni hatua kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA nabii shilla hangii, anapoteza muda, akakae na wajukuu na kula penshenin yake vizuri huku akisubiri kupendwa na Muumba.Aliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa Mlinzi Mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM
Pia soma
Aloyce Tendewa; Shujaa wa taifa, mlinzi wa zamani wa Nyerere na Lowassa
Mlinzi wa Lowassa, Aloyce Tendewa atimuliwa kazi...
Daaah, nimecheeeka!!!Atarushiwa mapepo, majini na maruhani ajikute anaropoka siri zote alizonazo
huyu jamaa kaanza kumlinda nyerere akiwa na miaka mingapi maana kwenye picha anaonekana kijana kabisaAliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa Mlinzi Mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM
Pia soma
Aloyce Tendewa; Shujaa wa taifa, mlinzi wa zamani wa Nyerere na Lowassa
Mlinzi wa Lowassa, Aloyce Tendewa atimuliwa kazi...
Isipokuwa wewe peke yako tu, ndio unajua nini maana ya ubunge.Majamaa yanayochukua form CCM utadhani yanaenda kushabikia mpira vile. Yani wengi vilaza, hata hawajui ubunge ni nini!
huyu jamaa kaanza kumlinda nyerere akiwa na miaka mingapi maana kwenye picha anaonekana kijana kabisa
Tendewa alikuwa MBAVU NENE kweli utu uzima ni shida.Aliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa Mlinzi Mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM
Pia soma
Aloyce Tendewa; Shujaa wa taifa, mlinzi wa zamani wa Nyerere na Lowassa
Mlinzi wa Lowassa, Aloyce Tendewa atimuliwa kazi...
Duuh kwani kuchukua fomu kuna siri gani mpaka aropoke na anaropoka nn?Atarushiwa mapepo, majini na maruhani ajikute anaropoka siri zote alizonazo
HahahahhahaMweupe tu uyo
Aliyekuwa Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa ambaye pia alikuwa Mlinzi Mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM
Pia soma
Aloyce Tendewa; Shujaa wa taifa, mlinzi wa zamani wa Nyerere na Lowassa
Mlinzi wa Lowassa, Aloyce Tendewa atimuliwa kazi...
Kila la kheri komredi Tendewa.
Nabii Shilla chaliiii!
Majamaa yanayochukua form CCM utadhani yanaenda kushabikia mpira vile. Yani wengi vilaza, hata hawajui ubunge ni nini!
We unaejua Ubunge ni nini mbona haujaenda kuchukua form?
Unajuaje kama sijachukua
Yule ameshaajiliwa pale Lumumba!
Standard ya haiba ya kuwa mbunge ilishashushwa hivyo tuzidi kutegemea kuona watu wa hovyo kabisa wakiwa wabunge wetu.