Uchaguzi 2020 Aloyce Tendewa ambaye alikuwa Mlinzi wa Mwl. Nyerere na Lowassa achukua fomu ya Ubunge Kilombero

KWA nabii shilla hangii, anapoteza muda, akakae na wajukuu na kula penshenin yake vizuri huku akisubiri kupendwa na Muumba.

Huyu mzee amesha fanya kazi ya kuajiriwa zaidi ya miaka 40, amesomesha mpaka wajukuu,
ana mali kla moa na uwekezaji mkubwa, KUNA VIJANA WAPUMBAVU WATAMPA KURA/AJIRA huku wakiacha vijana wenzo ambao hawajawahi kuajiriwa tangu wahitimu vyuo vikuu.Watanzania MATAGA wamelogwa, endeleeni kuajiri walioajiriwa na wanaoacha kazi ili kukimbilia siasa na kuacha wasio na ajira kabisa
 
[SUP]Lijuakali ndio kachukua fomu ya kuomba ufagizi lumumba?[/SUP]
 
huyu jamaa kaanza kumlinda nyerere akiwa na miaka mingapi maana kwenye picha anaonekana kijana kabisa
 
Majamaa yanayochukua form CCM utadhani yanaenda kushabikia mpira vile. Yani wengi vilaza, hata hawajui ubunge ni nini!
Isipokuwa wewe peke yako tu, ndio unajua nini maana ya ubunge.
 
huyu jamaa kaanza kumlinda nyerere akiwa na miaka mingapi maana kwenye picha anaonekana kijana kabisa

Mazoezi tu mkuu

Mwaka 2016 wakati anafukuzwa kazi alikua na miaka 59 kwahiyo hii 2020 atakua na miaka 63

Ila ukimgusa hapo mchokoze uone moto wake kama kijana wa miaka 25
 
Na hapo bado hatujaviona vituko vya wasanii kina Stive Nyerere, Amonize na Diamond
Majamaa yanayochukua form CCM utadhani yanaenda kushabikia mpira vile. Yani wengi vilaza, hata hawajui ubunge ni nini!
 
Tupe sababu kuu mbili ambazo zinakufanya uamini kama hajaenda kuchukua form.

Wakati mwingine muwe mnatumia angalau akili za kupewa na mwenyezi mungu kabla ya kutoa comment zenu za kiimra
We unaejua Ubunge ni nini mbona haujaenda kuchukua form?
 
Ikiwa Kilombero itampata Tendewa ni bonge la bingo. Tendewa ana huruma, mkarimu, mnyenyekevu, mtu anayeguswa na shida za watu wengine, mwaminifu na mzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ALIEKUWA MLINZIWA NYEREREBAADAE MH WAZIRI MKUU LOWASA AMECHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YAUBUNGEWA KILOMBERO
WATU KAMA HAWA NASHAURI CCM.KUWAKUMBUKA MANAA WALISHIKA

MAISHA YA WATEULE WETU MPAK.MWISHO WAKAGAN SALAMA NADHAN WANAHITAJI KUKUMBUKWA MDA KAMA HUU

KILA.LA KHERI MLINZI WETU WA TAIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…