Alphanga: TEC msitumie Mwamvuli wa dini kuipaka matope Serikali

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Ameandika alphanga_black "Tec, lazima tuwaambie ukweli. Msitumie mwamvuli wa dini kuipaka serikali mat0pe. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeonewa na mtu anayekutwa akihusika na uhalifu. Yaliyotokea oktoba 29, siku ya uchaguzi, yanahitaji kutazamwa kwa uzito.

Matukio ya uvamizi wa biashara za watu, vituo vya polisi na vituo vya kupigia kura, uchomaji wa Mali, kukata watu vidole na uporaji, kama yalivyoripotiwa, hayawezi kufananishwa tu na maandamano ya amani. Hata katika maandiko matakatifu, tunaona mifano ya sodoma na gomora, pamoja na kizazi cha nuhu, ambapo uovu na uasi vilikuwa na matokeo makubwa.

Swali langu kwa tec ni hili: je, kweli mnaamini kwamba matukio

yote yaliyotokea yalikuwa ni maandamano ya amani? Na je, ni sahihi kuwataja watu wanaohusishwa na vitendo vya uvamizi, uchomaji na uporaji kama mashujaa bila kwanza kusubiri uchunguzi na ushahidi?"

Kanisa lina wajibu wa kusimamia ukweli, haki na amani. Lisimame kwa wale walioonewa, lakini pia likemee vitendo vya uhalifu bila kujali vina mahali gani AU vimefanywa na nani. Haki isitumike kuficha uhalifu, na dini isitumike kuhalalisha vitendo vinavyohatarisha maisha, Mali na amani ya taifa letu.
 
Anapngea kidudumtu kimoja ambacho hakijui source,misingi ya kanisa katoliki, lilianza na limekuwa likikemea serikal nyingi duniani si ya tz tu. Arudi kwa walio mtuma
 
Ameandika alphanga_black "Tec, lazima tuwaambie ukweli. Msitumie mwamvuli wa dini kuipaka serikali mat0pe. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeonewa na mtu anayekutwa akihusika na uhalifu. Yaliyotokea oktoba 29, siku ya uchaguzi, yanahitaji kutazamwa kwa uzito.

Matukio ya uvamizi wa biashara za watu, vituo vya polisi na vituo vya kupigia kura, uchomaji wa Mali, kukata watu vidole na uporaji, kama yalivyoripotiwa, hayawezi kufananishwa tu na maandamano ya amani. Hata katika maandiko matakatifu, tunaona mifano ya sodoma na gomora, pamoja na kizazi cha nuhu, ambapo uovu na uasi vilikuwa na matokeo makubwa.

Swali langu kwa tec ni hili: je, kweli mnaamini kwamba matukio

yote yaliyotokea yalikuwa ni maandamano ya amani? Na je, ni sahihi kuwataja watu wanaohusishwa na vitendo vya uvamizi, uchomaji na uporaji kama mashujaa bila kwanza kusubiri uchunguzi na ushahidi?"

Kanisa lina wajibu wa kusimamia ukweli, haki na amani. Lisimame kwa wale walioonewa, lakini pia likemee vitendo vya uhalifu bila kujali vina mahali gani AU vimefanywa na nani. Haki isitumike kuficha uhalifu, na dini isitumike kuhalalisha vitendo vinavyohatarisha maisha, Mali na amani ya taifa letu.
Kwa hiyo na wale waliouawa wakitazama mpira walikuwa wanafanya uhalifu?

Kwa hiyo wanaofanya uhalifu ndiyo wauawe kwa risasi bila kushitakiwa?
 
Ameandika alphanga_black "Tec, lazima tuwaambie ukweli. Msitumie mwamvuli wa dini kuipaka serikali mat0pe. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeonewa na mtu anayekutwa akihusika na uhalifu. Yaliyotokea oktoba 29, siku ya uchaguzi, yanahitaji kutazamwa kwa uzito.

Matukio ya uvamizi wa biashara za watu, vituo vya polisi na vituo vya kupigia kura, uchomaji wa Mali, kukata watu vidole na uporaji, kama yalivyoripotiwa, hayawezi kufananishwa tu na maandamano ya amani. Hata katika maandiko matakatifu, tunaona mifano ya sodoma na gomora, pamoja na kizazi cha nuhu, ambapo uovu na uasi vilikuwa na matokeo makubwa.

Swali langu kwa tec ni hili: je, kweli mnaamini kwamba matukio

yote yaliyotokea yalikuwa ni maandamano ya amani? Na je, ni sahihi kuwataja watu wanaohusishwa na vitendo vya uvamizi, uchomaji na uporaji kama mashujaa bila kwanza kusubiri uchunguzi na ushahidi?"

Kanisa lina wajibu wa kusimamia ukweli, haki na amani. Lisimame kwa wale walioonewa, lakini pia likemee vitendo vya uhalifu bila kujali vina mahali gani AU vimefanywa na nani. Haki isitumike kuficha uhalifu, na dini isitumike kuhalalisha vitendo vinavyohatarisha maisha, Mali na amani ya taifa letu.
well done Alphanga 🤝

uko sahihi 100%
 
Yani watu wote waliokufa unataka kanisa liwe kimya?

Yani uongo wote waliosema Serikali ya mkono wa damu, wewe unakuwa sehemu ya damu

Tuliambiwa watu walitoka nchi jirani lakini mpaka leo hakuna jirani alisema kuna mtoto,ndugu, Mume, mke etc aliyepotea.

Tusiwe wajinga sana. ..!!
 
Sawa, mwambie sasa akachukue elfu saba yake Lumumba...
Jita zima linaropoka usenge...
downloadfile-1.png

Inabidi awe na hii message mda huu
 
Ameandika alphanga_black "Tec, lazima tuwaambie ukweli. Msitumie mwamvuli wa dini kuipaka serikali mat0pe. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeonewa na mtu anayekutwa akihusika na uhalifu. Yaliyotokea oktoba 29, siku ya uchaguzi, yanahitaji kutazamwa kwa uzito.

Matukio ya uvamizi wa biashara za watu, vituo vya polisi na vituo vya kupigia kura, uchomaji wa Mali, kukata watu vidole na uporaji, kama yalivyoripotiwa, hayawezi kufananishwa tu na maandamano ya amani. Hata katika maandiko matakatifu, tunaona mifano ya sodoma na gomora, pamoja na kizazi cha nuhu, ambapo uovu na uasi vilikuwa na matokeo makubwa.

Swali langu kwa tec ni hili: je, kweli mnaamini kwamba matukio

yote yaliyotokea yalikuwa ni maandamano ya amani? Na je, ni sahihi kuwataja watu wanaohusishwa na vitendo vya uvamizi, uchomaji na uporaji kama mashujaa bila kwanza kusubiri uchunguzi na ushahidi?"

Kanisa lina wajibu wa kusimamia ukweli, haki na amani. Lisimame kwa wale walioonewa, lakini pia likemee vitendo vya uhalifu bila kNujali vina mahali gani AU vimefanywa na nani. Haki isitumike kuficha uhalifu, na dini isitumike kuhalalisha vitendo vinavyohatarisha maisha, Mali na amani ya taifa letu.
Nina jirani yangu alipigwa risasi huko salasala. Hakuwa ana andamana lahasha. Haya mnayoandika ni kwa manufaa ya nani?
Kwa hiyo mnapoka maridhiano. Mnataka maridhiano na wachoma maduka???
 
Ameandika alphanga_black "Tec, lazima tuwaambie ukweli. Msitumie mwamvuli wa dini kuipaka serikali mat0pe. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeonewa na mtu anayekutwa akihusika na uhalifu. Yaliyotokea oktoba 29, siku ya uchaguzi, yanahitaji kutazamwa kwa uzito.

Matukio ya uvamizi wa biashara za watu, vituo vya polisi na vituo vya kupigia kura, uchomaji wa Mali, kukata watu vidole na uporaji, kama yalivyoripotiwa, hayawezi kufananishwa tu na maandamano ya amani. Hata katika maandiko matakatifu, tunaona mifano ya sodoma na gomora, pamoja na kizazi cha nuhu, ambapo uovu na uasi vilikuwa na matokeo makubwa.

Swali langu kwa tec ni hili: je, kweli mnaamini kwamba matukio

yote yaliyotokea yalikuwa ni maandamano ya amani? Na je, ni sahihi kuwataja watu wanaohusishwa na vitendo vya uvamizi, uchomaji na uporaji kama mashujaa bila kwanza kusubiri uchunguzi na ushahidi?"

Kanisa lina wajibu wa kusimamia ukweli, haki na amani. Lisimame kwa wale walioonewa, lakini pia likemee vitendo vya uhalifu bila kujali vina mahali gani AU vimefanywa na nani. Haki isitumike kuficha uhalifu, na dini isitumike kuhalalisha vitendo vinavyohatarisha maisha, Mali na amani ya taifa letu.
Huyo aambiwe tu kuwa TEC siyo limkundu lake
 
Kumsaidia tu Alfanga hao anaowatetea sii tu walijipaka matope ila ŵlijipaka Nnyaaa🤧
 
Yatasemwa mengi sana lakini mwisho ukweli utasimama.

Mpaka watu kufikia hatua ya kuandamana (ambapo serikali inadai ni vurugu) kulikuwa na viashiria vingi,,,,wengi walitoka wakiomba na kuishauri serikali kuwasilikiza watu lakini hilo halikufanyika,,majeshi yaliandaliwa kupita mtaani kuwatisha watu kwa mazoezi yao....nk

Huwezi kulinganisha uhai wa mwanadamu na mali (vitu). Ukimuua mtu huwezi kurudisha uhai wake lakini mali au vitu vikiharibika vinalipika au kurekebishika.

Kama wale walikuwa wahalifu basi ni sheria ipi ilitumika kuwaadhibu kwa kifo? Ni sheria ipi inasema kwamba mtu akiiba au akiharibu mali apigwe risasi?

Kwa nini hawakukumatwa na kufikishwa mahakamani ili wahukumiwe kwa haki?

Ukweli haufichiki, tutazungukazunguka sana lakini ukweli upo wazi, (watu waliuawa kimakosa).
 
Yaani huyu pimbi ya kijani hajui kwamba 29oct yale yalikuwa matokeo
kama chanzo cha hayo yote yangezuiliwa au kubadilishwa basi matokeo ya 29oct nayo yasingekuwa vile

Bi chura akajifanya kiziwi na jeuri akaona atumie risasi za moto kuuwa raia wasio na hatia
Hicho alichopanda ndo anavuna!
 
Ameandika alphanga_black "Tec, lazima tuwaambie ukweli. Msitumie mwamvuli wa dini kuipaka serikali mat0pe. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeonewa na mtu anayekutwa akihusika na uhalifu. Yaliyotokea oktoba 29, siku ya uchaguzi, yanahitaji kutazamwa kwa uzito.

Matukio ya uvamizi wa biashara za watu, vituo vya polisi na vituo vya kupigia kura, uchomaji wa Mali, kukata watu vidole na uporaji, kama yalivyoripotiwa, hayawezi kufananishwa tu na maandamano ya amani. Hata katika maandiko matakatifu, tunaona mifano ya sodoma na gomora, pamoja na kizazi cha nuhu, ambapo uovu na uasi vilikuwa na matokeo makubwa.

Swali langu kwa tec ni hili: je, kweli mnaamini kwamba matukio

yote yaliyotokea yalikuwa ni maandamano ya amani? Na je, ni sahihi kuwataja watu wanaohusishwa na vitendo vya uvamizi, uchomaji na uporaji kama mashujaa bila kwanza kusubiri uchunguzi na ushahidi?"

Kanisa lina wajibu wa kusimamia ukweli, haki na amani. Lisimame kwa wale walioonewa, lakini pia likemee vitendo vya uhalifu bila kujali vina mahali gani AU vimefanywa na nani. Haki isitumike kuficha uhalifu, na dini isitumike kuhalalisha vitendo vinavyohatarisha maisha, Mali na amani ya taifa letu.
Upana wa shughuli na wajibu wa kidini, kijamii, na kiuchumi upande wa Tanganyika unalifanya Kanisa Katoliki kuwa na ufahamu mkubwa kuhusu idadi ya mauaji yalitokea siku ya uchaguzi wa tarehe 29 October 2025 na tarehe zilizofuata.

Kanisa hili lina mtandao mpana wa waumini toka viongozi wa juu wa vyama vya kisiasa, kikiwamo CCM mpaka wa chini kabisa upande wa wananchi wa kawaida na hata pia viongozi katika ngazi za vijiji, mitaa, na vitongoji.

Kanisa hili linaendeshwa katika mfumo wa kidola lenye uongozi thabiti, imara na wa juu kabisa kutokea Vatican, Rome. Kwa hiyo lina mfumo thabiti wa kiintelejensia wa kupata na kuchakata taarifa mbalimbali za kawaida na za kijasusi.

Waumini wa Kikatoliki ni waaminifu sana kwa kanisa lao, na wapo tayari wakati wowote kuitetea kwa nguvu zao zote imani yao kuliko kujifunga na itikadi zingine, mathalani siasa, michezo, na nyanja nyingne za kiraia.

Wana muundo imara wa jumuiya ndogo ndogo za waumini ambao hukutana walau mara moja kwa wiki. Pale wanapokutana licha ya kusali kwa pamoja kama wananchi wa kawaida wanapata wasaa wa kujadiliana changamoto zinazolikabili taifa lao.

Kwa muktadha huo, TEC kikiwa chombo cha juu cha kiutawala ndani ya kanisa hili nchini Tanzania lina picha halisi kuhusu chanzo cha tatizo, ukubwa wa tatizo, na hata ya idadi halisi ya wale waliokumbwa na kadhia Ile.

Waumini wao wamejaa katika ofisi zote za umma huku wengine wakiwa na nyadhifa nyeti katika vitengo mbalimbali. Na huenda hii ikawa sababu iliyopelekea vifo vinavyofanana vya marehemu Lukuvi na Jenista Mhagama kutokea, na pia sababu iliyopelekea Nchimbi kuondolewa katika nafasi ya umakamu wa Rais

Bado watu wanatafakari mfuatano wa wakatoliki wawili Mkapa na Magufuli ambao walikuwa na ushawishi ndani ya CCM na hata mmojawapo kufa akiwa bado yupo madarakani!

TEC haipendwi na watawala kwa kuwa tu inaujua ukweli wote na idadi kamili ya mauaji. Watawala wanatumia "ostrich strategy" na kuficha kichwa ardhini ili kutafuta kujificha kupitia tume inazoziunda zenye "terms of references" za kutaka kuficha ukweli.

TEC inaliona umbile lote la mbuni lililopo nje, lililojaa modoa mekundu ya vifo vya kimbari vya Watanganyika.

Roma ikitamka, shauri limefungwa.
 
Ameandika alphanga_black "Tec, lazima tuwaambie ukweli. Msitumie mwamvuli wa dini kuipaka serikali mat0pe. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeonewa na mtu anayekutwa akihusika na uhalifu. Yaliyotokea oktoba 29, siku ya uchaguzi, yanahitaji kutazamwa kwa uzito.

Matukio ya uvamizi wa biashara za watu, vituo vya polisi na vituo vya kupigia kura, uchomaji wa Mali, kukata watu vidole na uporaji, kama yalivyoripotiwa, hayawezi kufananishwa tu na maandamano ya amani. Hata katika maandiko matakatifu, tunaona mifano ya sodoma na gomora, pamoja na kizazi cha nuhu, ambapo uovu na uasi vilikuwa na matokeo makubwa.

Swali langu kwa tec ni hili: je, kweli mnaamini kwamba matukio

yote yaliyotokea yalikuwa ni maandamano ya amani? Na je, ni sahihi kuwataja watu wanaohusishwa na vitendo vya uvamizi, uchomaji na uporaji kama mashujaa bila kwanza kusubiri uchunguzi na ushahidi?"

Kanisa lina wajibu wa kusimamia ukweli, haki na amani. Lisimame kwa wale walioonewa, lakini pia likemee vitendo vya uhalifu bila kujali vina mahali gani AU vimefanywa na nani. Haki isitumike kuficha uhalifu, na dini isitumike kuhalalisha vitendo vinavyohatarisha maisha, Mali na amani ya taifa letu.
Pumbavu wewe
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Heri ninyi watu watakapowashutumu na kuwaudhi.Furahini kwa maana thawabu yenu ni kubwa mbinguni.(Mathayo 5:10-11).Maaskofu na Mapadre wanasema ukweli utupu.
 
Back
Top Bottom