Alphanga: TEC msitumie Mwamvuli wa dini kuipaka matope Serikali

Ameandika alphanga_black "Tec, lazima tuwaambie ukweli. Msitumie mwamvuli wa dini kuipaka serikali mat0pe. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeonewa na mtu anayekutwa akihusika na uhalifu. Yaliyotokea oktoba 29, siku ya uchaguzi, yanahitaji kutazamwa kwa uzito.

Matukio ya uvamizi wa biashara za watu, vituo vya polisi na vituo vya kupigia kura, uchomaji wa Mali, kukata watu vidole na uporaji, kama yalivyoripotiwa, hayawezi kufananishwa tu na maandamano ya amani. Hata katika maandiko matakatifu, tunaona mifano ya sodoma na gomora, pamoja na kizazi cha nuhu, ambapo uovu na uasi vilikuwa na matokeo makubwa.

Swali langu kwa tec ni hili: je, kweli mnaamini kwamba matukio

yote yaliyotokea yalikuwa ni maandamano ya amani? Na je, ni sahihi kuwataja watu wanaohusishwa na vitendo vya uvamizi, uchomaji na uporaji kama mashujaa bila kwanza kusubiri uchunguzi na ushahidi?"

Kanisa lina wajibu wa kusimamia ukweli, haki na amani. Lisimame kwa wale walioonewa, lakini pia likemee vitendo vya uhalifu bila kujali vina mahali gani AU vimefanywa na nani. Haki isitumike kuficha uhalifu, na dini isitumike kuhalalisha vitendo vinavyohatarisha maisha, Mali na amani ya taifa letu.
lijamaa halina akili
 
Nani kakwambia hukumu ya wahalifu ni kupigwa risasi na kuuwawa?- Hiyo sheria ya wapi?
 
Mbona hakuna picha wala video ya mtu aliyekatwa vidole kama ilivyo kwa waliojeruhiwa kwa risasi na kuuawa?
 
Ameandika alphanga_black "Tec, lazima tuwaambie ukweli. Msitumie mwamvuli wa dini kuipaka serikali mat0pe. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeonewa na mtu anayekutwa akihusika na uhalifu. Yaliyotokea oktoba 29, siku ya uchaguzi, yanahitaji kutazamwa kwa uzito.

Matukio ya uvamizi wa biashara za watu, vituo vya polisi na vituo vya kupigia kura, uchomaji wa Mali, kukata watu vidole na uporaji, kama yalivyoripotiwa, hayawezi kufananishwa tu na maandamano ya amani. Hata katika maandiko matakatifu, tunaona mifano ya sodoma na gomora, pamoja na kizazi cha nuhu, ambapo uovu na uasi vilikuwa na matokeo makubwa.

Swali langu kwa tec ni hili: je, kweli mnaamini kwamba matukio

yote yaliyotokea yalikuwa ni maandamano ya amani? Na je, ni sahihi kuwataja watu wanaohusishwa na vitendo vya uvamizi, uchomaji na uporaji kama mashujaa bila kwanza kusubiri uchunguzi na ushahidi?"

Kanisa lina wajibu wa kusimamia ukweli, haki na amani. Lisimame kwa wale walioonewa, lakini pia likemee vitendo vya uhalifu bila kujali vina mahali gani AU vimefanywa na nani. Haki isitumike kuficha uhalifu, na dini isitumike kuhalalisha vitendo vinavyohatarisha maisha, Mali na amani ya taifa letu.
TEC ndio waliofyatua risasi Oct29?
 
Fuateni taratibu mkisajili kiwe chama cha siasa ili mpate uhalali wa kuhubiri siasa makanisani
Msajili wetu mkuu ni Mungu peke yake kupitia Yesu Kristo alikuja kuifia haki msalabani na kuleta Amani kwa mataifa yote duniani.Amwaminiye na Kubatizwa ataokoka bali yule asiyemwamini atahukumiwa.(Marko16:16)
 
Siku ile Roho Mtakatifu alipowashukia Mitume kule Yerusalem ndiyo siku hiyo hiyo tulipata usajili rasmi mwaka wa 33.
 
Msajili wetu mkuu ni Mungu peke yake kupitia Yesu Kristo alikuja kuifia haki msalabani na kuleta Amani kwa mataifa yote duniani.Amwaminiye na Kubatizwa ataokoka bali yule asiyemwamini atahukumiwa.(Marko16:16)
Basi mfanyieni siasa Mungu na malaika apa duniani siasa ni mpaka ujisajili kwa msajili wa vyama ambae ni binadamu
 
Chanzo cha siasa ni Mungu Mwenyewe pale aliposema," Na tumfanye Mtu kwa mfano wa sura yetu akatwale wanyama wa porini,ndege wa angani na samaki wa baharini.
 
Una uhakika gani kuwa Mungu ndio kayasema hayo?
 
Ameandika alphanga_black "Tec, lazima tuwaambie ukweli. Msitumie mwamvuli wa dini kuipaka serikali mat0pe. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayeonewa na mtu anayekutwa akihusika na uhalifu. Yaliyotokea oktoba 29, siku ya uchaguzi, yanahitaji kutazamwa kwa uzito.

Matukio ya uvamizi wa biashara za watu, vituo vya polisi na vituo vya kupigia kura, uchomaji wa Mali, kukata watu vidole na uporaji, kama yalivyoripotiwa, hayawezi kufananishwa tu na maandamano ya amani. Hata katika maandiko matakatifu, tunaona mifano ya sodoma na gomora, pamoja na kizazi cha nuhu, ambapo uovu na uasi vilikuwa na matokeo makubwa.

Swali langu kwa tec ni hili: je, kweli mnaamini kwamba matukio

yote yaliyotokea yalikuwa ni maandamano ya amani? Na je, ni sahihi kuwataja watu wanaohusishwa na vitendo vya uvamizi, uchomaji na uporaji kama mashujaa bila kwanza kusubiri uchunguzi na ushahidi?"

Kanisa lina wajibu wa kusimamia ukweli, haki na amani. Lisimame kwa wale walioonewa, lakini pia likemee vitendo vya uhalifu bila kujali vina mahali gani AU vimefanywa na nani. Haki isitumike kuficha uhalifu, na dini isitumike kuhalalisha vitendo vinavyohatarisha maisha, Mali na amani ya taifa letu.
We jamaa mjinga sana.
TEC ni taasisi ambayo huwezi kuiburuza kama mnavyotaka,
TEC inaongea kile wananchi wanancholalamikia, na anayelalamika sana antekwa na kuuwawa,
Polepole yuko wapi
Nchimbi yuko wapi

Wajinga ninyi, mmekamatwa uhusika wa mauaji ya Okt29, na anaye waumbua mnamwona mbaya, ni kwa vile mioyo yenu ina kutu mbaya ya dhambi.
 
Back
Top Bottom