Alphanga: TEC msitumie Mwamvuli wa dini kuipaka matope Serikali

lijamaa halina akili
 

Nani kakwambia hukumu ya wahalifu ni kupigwa risasi na kuuwawa?- Hiyo sheria ya wapi?
 
Mbona hakuna picha wala video ya mtu aliyekatwa vidole kama ilivyo kwa waliojeruhiwa kwa risasi na kuuawa?
 
TEC ndio waliofyatua risasi Oct29?
 
Fuateni taratibu mkisajili kiwe chama cha siasa ili mpate uhalali wa kuhubiri siasa makanisani
Msajili wetu mkuu ni Mungu peke yake kupitia Yesu Kristo alikuja kuifia haki msalabani na kuleta Amani kwa mataifa yote duniani.Amwaminiye na Kubatizwa ataokoka bali yule asiyemwamini atahukumiwa.(Marko16:16)
 
Fuateni taratibu mkisajili kiwe chama cha siasa ili mpate uhalali wa kuhubiri siasa makanisani
Siku ile Roho Mtakatifu alipowashukia Mitume kule Yerusalem ndiyo siku hiyo hiyo tulipata usajili rasmi mwaka wa 33.
 
Msajili wetu mkuu ni Mungu peke yake kupitia Yesu Kristo alikuja kuifia haki msalabani na kuleta Amani kwa mataifa yote duniani.Amwaminiye na Kubatizwa ataokoka bali yule asiyemwamini atahukumiwa.(Marko16:16)
Basi mfanyieni siasa Mungu na malaika apa duniani siasa ni mpaka ujisajili kwa msajili wa vyama ambae ni binadamu
 
Basi mfanyieni siasa Mungu na malaika apa duniani siasa ni mpaka ujisajili kwa msajili wa vyama ambae ni binadamu
Chanzo cha siasa ni Mungu Mwenyewe pale aliposema," Na tumfanye Mtu kwa mfano wa sura yetu akatwale wanyama wa porini,ndege wa angani na samaki wa baharini.
 
Chanzo cha siasa ni Mungu Mwenyewe pale aliposema," Na tumfanye Mtu kwa mfano wa sura yetu akatwale wanyama wa porini,ndege wa angani na samaki wa baharini.
Una uhakika gani kuwa Mungu ndio kayasema hayo?
 
We jamaa mjinga sana.
TEC ni taasisi ambayo huwezi kuiburuza kama mnavyotaka,
TEC inaongea kile wananchi wanancholalamikia, na anayelalamika sana antekwa na kuuwawa,
Polepole yuko wapi
Nchimbi yuko wapi

Wajinga ninyi, mmekamatwa uhusika wa mauaji ya Okt29, na anaye waumbua mnamwona mbaya, ni kwa vile mioyo yenu ina kutu mbaya ya dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…