Alphonce Kusaga athibitisha kuachiliwa na jeshi la polisi hapo jana

Alphonce Kusaga athibitisha kuachiliwa na jeshi la polisi hapo jana

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kupitia ukura wa Kusaga Tv ......

"Niko salama waliniachia JANA lakini naingia mahabusu na God anatoka lakini kama mwandishi wa wananchi nitawajulisha wananchi kilichojiri .Asanteni sana Kwa Wote mliopaza sauti kwa ajili yangu na mwenzangu".

Pia Soma: Polisi wanaendelea kuwinda waandishi wa Habari jijini Arusha, baada ya Godfrey wa Millard Ayo, sasa ni Alphonce Kusaga
1762427691121.png
 
Back
Top Bottom