DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Nov 6, 2025 #1 Kupitia ukura wa Kusaga Tv ...... "Niko salama waliniachia JANA lakini naingia mahabusu na God anatoka lakini kama mwandishi wa wananchi nitawajulisha wananchi kilichojiri .Asanteni sana Kwa Wote mliopaza sauti kwa ajili yangu na mwenzangu". Pia Soma: Polisi wanaendelea kuwinda waandishi wa Habari jijini Arusha, baada ya Godfrey wa Millard Ayo, sasa ni Alphonce Kusaga
Kupitia ukura wa Kusaga Tv ...... "Niko salama waliniachia JANA lakini naingia mahabusu na God anatoka lakini kama mwandishi wa wananchi nitawajulisha wananchi kilichojiri .Asanteni sana Kwa Wote mliopaza sauti kwa ajili yangu na mwenzangu". Pia Soma: Polisi wanaendelea kuwinda waandishi wa Habari jijini Arusha, baada ya Godfrey wa Millard Ayo, sasa ni Alphonce Kusaga