PostGE2025 Alphonce Muyinga: Lazima tujue nani alihusika, nani alipinga mpango, nani alifadhiliwa na nani alifadhili matukio ya Oktoba 29, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mzalendo Alphonce Patrick Muyinga amewataka Watanzania kuwa makini na kile alichokiita pishi jipya la propaganda za hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi na matukio yaliyotokea Oktoba 29.

Muyinga amesema kuwa, kwa kuwa vurugu zilizotokea tayari zimetokea, kinachohitajika sasa ni kujikita katika uchunguzi na kujua ukweli kuhusu waliohusika katika matukio hayo.

Amehoji kuhusu nani alihusika, nani alichochea, nani alipinga mpango huo, nani alifadhili na nani alipokea au kutoa ufadhili, akisisitiza umuhimu wa kupata majibu ya maswali hayo badala ya kuendeleza mjadala unaojengwa zaidi kwenye hisia.

Soma Pia: Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

Watanzania tuwe makini na hili pishi jipya la propaganda ya hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi ya yaliyo tokea October 29. Kama watu kufanya vurugu walisha fanya, yaliyo tokea yamesha tokea. Sasa lazima tujue nani alihusika, nani alichochea, nani alipinga mpango, nani alifadhiliwa na nani alifadhili.

Juzi baada ya Padri K nilisema, huu ni mpango wa makusudi wa kuficha ukweli na kuwaadaa Watanzania wasijue, na kuwafanya wasiwe na imani na Tume, ili wahaini wajinasue kwenye mtego na kuacha lawama kwa Serikali.

Padri alisemaje kwani, na opinion yako ni nini?
 
Ikiwa mpaka leo hajajulikana mfadhili alikuwa nani basi ni CCM yenyewe ndio ilifadhili,

ilichochea na ilisababisha mauwaji kupitia hasira za raia zilizo rundikana miaka na miaka kufuatia kitosikilizwa au kutatua kero zao.
 
Mzalendo Alphonce Patrick Muyinga amewataka Watanzania kuwa makini na kile alichokiita pishi jipya la propaganda za hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi na matukio yaliyotokea Oktoba 29.

Muyinga amesema kuwa, kwa kuwa vurugu zilizotokea tayari zimetokea, kinachohitajika sasa ni kujikita katika uchunguzi na kujua ukweli kuhusu waliohusika katika matukio hayo.

Amehoji kuhusu nani alihusika, nani alichochea, nani alipinga mpango huo, nani alifadhili na nani alipokea au kutoa ufadhili, akisisitiza umuhimu wa kupata majibu ya maswali hayo badala ya kuendeleza mjadala unaojengwa zaidi kwenye hisia.

Soma Pia: Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

Watanzania tuwe makini na hili pishi jipya la propaganda ya hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi ya yaliyo tokea October 29. Kama watu kufanya vurugu walisha fanya, yaliyo tokea yamesha tokea. Sasa lazima tujue nani alihusika, nani alichochea, nani alipinga mpango, nani alifadhiliwa na nani alifadhili.

Juzi baada ya Padri K nilisema, huu ni mpango wa makusudi wa kuficha ukweli na kuwaadaa Watanzania wasijue, na kuwafanya wasiwe na imani na Tume, ili wahaini wajinasue kwenye mtego na kuacha lawama kwa Serikali.

Utter nonsense! Hao wafadhali walikuwa wanafanya ubaguzi kwenye ufadhili wao? Mbona mimi na washirika wangu hatukufikiwa na huo ufadhili?
 
Kuna msemo unasema "Iwapo u Raia mwema unamuogopaje Polisi?" Yaani polisi anapita na shughuli zake unajishuku unatoka nduki😂😂
 
Judge Chande alisha toa report na akataja sababu za maandamano na mauwaji.. wewe ni nani hadi umpinge huyo Judge Chande? Mojawapo ya sababu ilikuwa ni sababu za Mapenzi, ndivyo alivyosema... sasa hawa wa Mapenzi nao pia wachunguzwe? Na huyi Padri K ndio nani, si umtaje? mapadre wanaoanza na herufi K ni wengi...
 
Mzalendo Alphonce Patrick Muyinga amewataka Watanzania kuwa makini na kile alichokiita pishi jipya la propaganda za hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi na matukio yaliyotokea Oktoba 29.

Muyinga amesema kuwa, kwa kuwa vurugu zilizotokea tayari zimetokea, kinachohitajika sasa ni kujikita katika uchunguzi na kujua ukweli kuhusu waliohusika katika matukio hayo.

Amehoji kuhusu nani alihusika, nani alichochea, nani alipinga mpango huo, nani alifadhili na nani alipokea au kutoa ufadhili, akisisitiza umuhimu wa kupata majibu ya maswali hayo badala ya kuendeleza mjadala unaojengwa zaidi kwenye hisia.

Soma Pia: Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

Watanzania tuwe makini na hili pishi jipya la propaganda ya hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi ya yaliyo tokea October 29. Kama watu kufanya vurugu walisha fanya, yaliyo tokea yamesha tokea. Sasa lazima tujue nani alihusika, nani alichochea, nani alipinga mpango, nani alifadhiliwa na nani alifadhili.

Juzi baada ya Padri K nilisema, huu ni mpango wa makusudi wa kuficha ukweli na kuwaadaa Watanzania wasijue, na kuwafanya wasiwe na imani na Tume, ili wahaini wajinasue kwenye mtego na kuacha lawama kwa Serikali.

Uchambuzi wangu katika hili tuachie Mamlaka zifanye kazi yao
 
ok. :1Head:
 
Ukiangalia tayari ana upande huyo kwa hiyo ni walewale wasaka teuzi.

Akili ya kawaida tu,kungekuwa na mpangaji na ufadhili matukio yangefanana sehemu zote!

Mf: Kahama mjini Lake oil ana vituo viwili vya mafuta na havikuguswa kwa namna yoyote licha ya kuwepo vurugu kubwa.
 
Njaa ikihamia kichwani unajikuta tu unaongea uhara kama huyu Alphone mavi
 
Mzalendo Alphonce Patrick Muyinga amewataka Watanzania kuwa makini na kile alichokiita pishi jipya la propaganda za hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi na matukio yaliyotokea Oktoba 29.

Muyinga amesema kuwa, kwa kuwa vurugu zilizotokea tayari zimetokea, kinachohitajika sasa ni kujikita katika uchunguzi na kujua ukweli kuhusu waliohusika katika matukio hayo.

Amehoji kuhusu nani alihusika, nani alichochea, nani alipinga mpango huo, nani alifadhili na nani alipokea au kutoa ufadhili, akisisitiza umuhimu wa kupata majibu ya maswali hayo badala ya kuendeleza mjadala unaojengwa zaidi kwenye hisia.

Soma Pia: Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

Watanzania tuwe makini na hili pishi jipya la propaganda ya hisia kuhusu Tume ya Uchaguzi ya yaliyo tokea October 29. Kama watu kufanya vurugu walisha fanya, yaliyo tokea yamesha tokea. Sasa lazima tujue nani alihusika, nani alichochea, nani alipinga mpango, nani alifadhiliwa na nani alifadhili.

Juzi baada ya Padri K nilisema, huu ni mpango wa makusudi wa kuficha ukweli na kuwaadaa Watanzania wasijue, na kuwafanya wasiwe na imani na Tume, ili wahaini wajinasue kwenye mtego na kuacha lawama kwa Serikali.

"akisisitiza umuhimu wa kupata majibu ya maswali hayo badala ya kuendeleza mjadala unaojengwa zaidi kwenye hisia", ili iweje, kwa desturi na tabia zetu hatutapewa jibu sahihi kwani tunapenda kutumia majibu tunayokwenda nayo mfukoni dhidi ya tunaowachukia.
 
Back
Top Bottom