Kwamba unakataa kwamba mchakato mzima wa kupata washiriki hauna vimelea na rushwa na undugunization au?.. yaani kabisa umekaza shingo hapa unakataa jambo ambalo liko wazi na kila mtu analilalamikia?? Inavyoonekana wewe ni mmoja wa wanufaika wa hiki nnachokizungumzia hapo.Corrupted system ipi mkuu, vigezo vinawekwa ukifikisha time flani umefuzu, sasa vp inakuwa corrupted system
Ni jitihada zake mkuu
Huyo Simbu nimetoka kumskia hapa dakika chache tu zilizopita anasema eti anaenda kujiandaa kwa ajili ya michuano ijayo serious kabisa..?? Kwamba anajiona bado ana sifa za kuendelea kutuwakilisha pamoja na performance mbovu alionesha kwenye editions tatu tofauti? Hivi angekuwa yuko kwenye taifa ambalo liko serious na michezo angekuwa hata na ujasiri wa kujipa hayo matumaini?
Kwa hiyo kwa akili yako wewe unaamini kwamba miaka yote hiyo hakunaga wakimbiaji wengine wenye sifa za kutuwakilisha bali ni yeye tu??
Wewe unaonekana umzaliwa na kukulelewa na mfumo corrupted na yamekuwa ndio maisha yako.