Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Ndege isiyo na rubani au droni imedondoshwa leo kwenye jiji la Gaza ambalo jeshi la Israel lilitangaza zamani kulidhibiti eneo hilo.
Habari hizo zimetolewa na msemaji ya kundi la Alquds ambalo ni tawi la kijeshi la harakati za Islamic jihad.
Droni hiyo kwa mujibu wa aljazeera iliyowanakili Alquds ilikuwa ni ile iliyokuwa ikikushanya taarifa za kijasusi kwa ajili ya IDF.
Ikumbukwe kuwa vita kati ya Hamas na makundi mengine ya kipalestina vimeingia mwezi wa tano tango vianza hapo mwisho mwa mwaka uliopita.
Sambamba na tukio hilo vita vimetajwa kuendelea maeneo ya kati ya Gaza na kusini kwenye mpaka na Misri eneo la Rafah.
Kweny kambi ya El barah katikati ya Gaza jumla ya watu 12 wameuliwa na jeshi la Israel.