Alshabaab 1,000 walishambulia na kuawa zaidi ya 200

Mmmmhh.. nimeisoma, ila kuna mashaka sana na habari hii, vita hii ni kali sana, sbb ni al-shabab wanawavizia KDF kisha wanawapiga ambush ya kufa mtu..!!
 
Umeongea point sana
 
Mmmmhh.. nimeisoma, ila kuna mashaka sana na habari hii, vita hii ni kali sana, sbb ni al-shabab wanawavizia KDF kisha wanawapiga ambush ya kufa mtu..!!
Kwa nini na kdf wasiwavie al-shabaab
 
Mmmmhh.. nimeisoma, ila kuna mashaka sana na habari hii, vita hii ni kali sana, sbb ni al-shabab wanawavizia KDF kisha wanawapiga ambush ya kufa mtu..!!
Kwa nini na kdf wasiwavie al-shabaab na kuwapiga
 
Eti drones Al shababu kufa hata wakiwa 1,000 sio tatizo wameshaamua,tatizo wanapokufa wanamgambo 55 wa KDF,kuna tia mashaka na uwezo wao.
 
I would like to see thE KDF CAMP before I can believe anything...at this point ALSHABAAB IS WINNING ..they have videos and pic to prove it..
 
I would like to see thE KDF CAMP before I can believe anything...at this point ALSHABAAB IS WINNING ..they have videos and pic to prove it..
Huwezi kuita shambulio la kuvizia kuwa ni ushindi. KDF wamefanya makubwa sana kuweza kupambana na hao mchwa, na waki withdraw kama baadhi ya watu wanavyojidanganya, hali itakuwa mbaya!!! wanahitaji support kutoka kwenye international community pamoja na raia wote wa eneo la afrika mashariki na pembe ya afrika.Taafifa za kiintelijensia zinahitajika kwani watu wanaweza kufikiri kuwa hawa ni wasomali kumbe uhalisia ukakuta ni watu ambao tunaishi nao mitaani tena wanajifanya watu wema kweli na huwasiliana wajuavyo na kutekeleza uhalifu na baadaye kurudi kujichanganya mitaani. Ninaamini watu wachukia uovu wapo na wapo wengi tuu na siku moja taarifa sahihi zitapatikana na kufuta kabisa mtandao huu wa kihuni.
 
Hivi nyinyi wakenya amjui mbinu za kulinda kambi zenu hadi mnavamiwa kuna mbinu nyingi sahii za kulinda kambi hata mabomu ya ya ardhini yaliyo tegwa kiutaaramu kweli jeshi lenu linamatatizo sana siraha za kisasa mnazo vipi mnashambuliwa na adui mliye mwona umbali wa km 14 da! Kazi mnayo
 
Utawavizia watu sokoni wakifanya shughuli zao, inafaa ifahamike alshabaab siku za kawaida huwa ni watu wavaa makanzu tu bila ishara yoyote kwamba ni wapiganaji.
Issue ni kwamba waliwa spot kwa drone mapema sana hapo ilikuwa ni wakati muafaka kubadili game na kuwa ambush alshabab!you can count them 1000 plus huku mkiwa na drone na gunship then you end up kiling mere 200?
Yaani hapo ilikuwa ni kuwapa kichapo kitakatifu unaita kila mtu kuwa jamaa wapo njooni tuwafagie once and for all!
Huyu kamanda anatuletea hadithi za hao good they defend the camp ?tena anasema kulikuwa na camp mbili zingeweza kulengwa kwa nini asiwa alert na hiyo nyingine wakajoin na kuwafyeka alshabab?
KDF Mmeniangusha bwana!
 

Nafikiri pia kuna masuala ya tactical hapa, drones ziliwaona jamaa 1,000 wakiwa 14km away, kama wanakuja. Siyajui masuala ya kijeshi vizuri, lakini ningekua kamanda na nina wanajeshi 250 halafu nimepata taarifa za drones kwamba kuna kundi la wapiganaji wa kujitoa mhanga wapo kilomita 1,000 wanakuja kwa kasi huku wamebeba silaha za kila aina, lazima ningejiandaa kulinda kambi na sio kutoka nje ili kuwashtukiza.

Huo muda ni mdogo sana kuandaa ambush ya aina yoyote, hao jamaa walikua wamekuja kufanya maangamizi ambayo yangebaki kwenye historia. Walikua na magari yenye mabomu makubwa ya kujitoa mhanga. Hivyo kwa wao kuuawa 200 ilikua shughuli. Halafu ndege zilifika ndani ya dakika 30 na walipoziona wakatoweka.
 
We boya mbona kama unawasifia al shababu unasema wanamagari yenye mabomu hatari sijui nini intelligence yenu ya kijasusi hipo wapi kwanini mateka mnaowakamata msiwatumie kuwatambua hao al shab na sehemu zilipo siraha zao na kuwapokonya ila ukweli hiyo habari haipo sawa vipi wapotee al shab 1000 mbele ya ndege za kisasa kdf stupid manki
 
Kwamujibu wenu wenyewe hilo alikuwa shambulio la kuvizia mana mliwaona tayari wakiwa umbali wa km14 labda nyinyi ndo mngeweza kuwavizia wao
 
Hawa alshabab wanatesa binadamu wenzetu sana jamani hivi majeshi yamewashindwa kabisa?
Alafu sijawahi kusikia nchi yetu imetoa askari kushughurika na alshabab nipeni mwanga kwanini hatushiriki hilo wakuu ilihali wakenya na sisi tuko pamoja sehemu nyingi
 

Vita dhidi ya Alshabaab na magaidi wote ni vya dunia yote, na sio vya Kenya pekee yake. Kule Somalia, wameenda wanajeshi kutokea Uganda, Ethiopia, Burundi, Rwanda, Kenya n.k.
Pili, wanajeshi wa KDF hawajashindwa, na hamna jinsi wanaweza kushndwa. Tayari waliwapiga Alsbaaba kutoka kwenye ngome zao, sasa wameishia kujificha ndani ya raia na kupanga mashambulizi ya kushtukia, kwamba hawana kambi maalum.
Mchana unaona watu wanazunguka wakiuza bidhaa za machinga huku wamevaa kanzu, lakini usiku wanabadilika na kuwa wapiganaji.
 
Kwa nini na kdf wasiwavie al-shabaab
KDF huwa hawatangazi, ukitaka kupata habari hizo, fuata habari za Kisomali utapata kila wiki Alshabaab wamepigwa.

Alshabaab wakivizia habari inasikika sababu wanataka waonekane bado wana nguvu na kutia mori na moyo wafuasi wao!!

Site ya intelligencynews huleta habari nyingi za kupigwa hao alshabaab!! Kitambo wanahabari wa Kenya na international walikuwa wakiandamana na KDF lakini walipoingia Amisom, wanahabari wakatolewa, sielewi kwa nini

 
Ninachotaka Mimi kusikia ni kwamba hakuna mtu wala binadamu anajiita alshabab hapo ndo itakua final episode ya alshabab sasa kama bado wapo na wanaua watu wetu huoni bado hawajaisha? Wanatakiwa waishe hata huko uraiani wanakojificha.
 
Ninachotaka Mimi kusikia ni kwamba hakuna mtu wala binadamu anajiita alshabab hapo ndo itakua final episode ya alshabab sasa kama bado wapo na wanaua watu wetu huoni bado hawajaisha? Wanatakiwa waishe hata huko uraiani wanakojificha.

Alshabaab hawawezi kuisha kihivyo, labda useme tuilipue Somalia yote ibaki ardhi tupu. Ufahamu wafuasi wa Alshabaab wapo kote, wengine hata ni Wakenya na Watanzania na watu kutokea nchi za mbali.
Magaidi kuyamaliza sio kazi rahisi maana yanajificha ndani ya jamii, kule kwa ISIS Marekani amepiga mabomu hadi akahema, Mrusi naye kaja hadi ICBM missiles, pia naye amehema. Nchi nyingi zinawapiga lakini kadiri wanavyouawa ndivyo mahubiri ya kuwaita wengine kutokea nchi za mbali yanazidi na wanasafiri kwenda huko.

Hivyo ni mwendo wa kuendelea kuwaua tu maana hamna namna, ukiachia basi wataimaliza dunia. Sasa hivi hayo magaidi yakikaribia maeneo ya nyuklia ndio mtajua muziki wake na ndio maana Trump ameamu kuzuia nani anaenda kwake. Maana kumjua gadi ni vigumu.
 
Mr. Japo hawa viumbe sio Watu wakawaida ni wanyama hawana utu!!!
lakini umenichekesha sana,hahaha! mbavu sinaaaa
Kwa hiyo Alshabab-al mujahidin wao hata kandambili,shuka wanapitia tu!

VIPI huyo jamaa yako polisi kaacha kazi baada ya kukutane na hekaheka kule au bado anachapa kazi..?
 
Nikiwasikia au nikipataarifa Juu ya Alshabaab najikuta akili inakumbuka na kuunganisha Boko haram,Al-qaeda,ISIS na Seleka!

Kupambana na hawa viumbe Jeshi la Nchi au askari lazima wajitoe vilivyo kufa au kupona,wakishirikiana kwa ukaribu sana na wananchi.

Ni muda sasa wanawachachafya,lakini tunawaombea Mapambano yenye Ushindi, ikiwezekana ibaki historia ya hawa viumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…