MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
"Lakini nao alshabaab zaidi ya 200 waliuawa na wapo kuzimu wanagegeda mabikira 70 kila mmoja" [emoji15]
Ni muhimu kuwafikisha kule maana hamna jinsi. Kwa kweli japo naogopa kifo lakini nikihakikishiwa nitawapata hao mabikira 70 inabidi kuachia dunia. Kuna baadhi yetu tulikua midomo zege wakati wa ujana wetu na hatukufaulu kuwapata mabikira, na hatujui wapo vipi kwenye shughuli, hivyo fursa kama hiyo inabidi kuchangamkia.