Alshabaab wamwua mwanajeshi wa Marekani kule Darusalam, Somalia

Well Tanzania is the most peaceful in the region, without tensions, and you know that.. Kenyan cities are among African cities notorious for crime.. bottom line with the help of all your allies against Al-Shabaab up to this day bado wanawalamba makalio.. in short mngekuwa effective wangekuwa wameshaondoka..

Polisi yenu inanuka rushwa... Ndio maana crime is rampant huko kwenu.. wanajeshi wenu wana all the toys the could think of ila bado al shabaab wanawakimbiza na magobole..

Tuliingia msumbiji tukafanya kazi tukaimaliza, na sisi wabongo hatuna hiyana, Tunatenda wema tunaenda zetu.. likewise South Africa na Uganda..
Tupo peaceful kwa sababu hatuna jirani yeyote ambaye ana uwezo wa kutishia amani yetu kwa sababu hawana sababu wala uwezo huo..

Jeshi la Tz limewafurusha M23.. jeshi la Kenya lipo bize linauza mkaa.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji1] [emoji2] [emoji2] Kwanza ni Ziwa Nyasa sio Malawi. Nyie mnajua kabisa dhambi mlizowafanyia kwenye vita ya Shifta

Mnakumbuka mauaji ya Waggala kule Wajir mlivyowauwa Wasomali 5000 kinyama na mateso

Leo ndio mnapata payback mnalialia tuwasaidie
 
Hatuna sababu yakufanya hvyo.ila wakituchokoza tutawasambaratisha.
Lol ....okay [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] the level of thought in this topic is borderline Uneducated and stupid
 
Lol ....okay [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] the level of thought in this topic is borderline Uneducated and stupid
Hahahaa.. kweli mkono wa mjinga huandika chochote..

Waswahili tunasema pilipili ya shamba inakuwashia nini.. ugomvi upo Somalia, mmechokoza wenyewe nyuki halafu eti bongo ije iwasaidie..

Ki ukweli wewe ndio uneducated na stupid kuleta hoja za kibashite humu ndani.
 

Hao M23 ni watoto walikua wanajifunza vita na walikua waoga wasiopenda kufa, nyie bado sana, hamjafikia level ya kupigana vita vya kisasa. Vita dhidi ya mazombi wa kigaidi yanapiganwa na nchi zenye majeshi bora zaidi ya kwenu mara 1,000,000 Mrusi na Mmarekani wanatumia mpaka ICBM lakini mazombi yanazidi kuongezeka. Mshukuru sana tumewakingia kifua maana mkitetemeshwa kidogo mnapoteana Dar yote, nakumbuka kipindi cha watoto wa Panya road, mlikimbia mjini na kupoteana.
 
Tulivyoenda Msumbiji uliona mtanzania anaomba msaada wenu? Somalia mzigo wenu, at least for once wakenya piganeni kimya kimya siyo kelele nyingi matokeo hayaonekani.
 
Lol ujue bado Kuna suicide bombers wengi wao wakiwa vijana wadogo.. Kuna IED'S planted kwa barabara, ukipita juu inalipuka and wenye watasurvive most of them huwa paralysed... They have modern ground weapons and to make it worse they don't fear death.. Soo how can one fight such people
 
Tulivyoenda Msumbiji uliona mtanzania anaomba msaada wenu? Somalia mzigo wenu, at least for once wakenya piganeni kimya kimya siyo kelele nyingi matokeo hayaonekani.
Unajua vita dhidi ya alshabaab sio vita ya Kenya pekee...
 
Tulivyoenda Msumbiji uliona mtanzania anaomba msaada wenu? Somalia mzigo wenu, at least for once wakenya piganeni kimya kimya siyo kelele nyingi matokeo hayaonekani.

Wapi umeona tukiwaomba msaada, halafu msaada upi mnaweza kutoa nyie. Mnafikiria vita dhidi ya magaidi ni upasuaji wa matofari.

Pale Somalia wanakwenda wanaume ambao wapo tayari kulinda ukanda huu dhidi ya ugaidi na yeyote asiyekua na ubavu huo bora abaki nyumbani kwa mkewe.

Hivi ni vita vya dunia na nyie hamjafikia kwenye ligi hiyo.
 
Nimeongea na ww saa ngapi?? FOH
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
jamani huyo mmoja alieuwawa ataleta masikitiko
 
Kama mnajua yote hayo basi SHUT UP and FIGHT siyo kulalama jinsi vita ya ugaidi ilivyo ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…