MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,514
Well Tanzania is the most peaceful in the region, without tensions, and you know that.. Kenyan cities are among African cities notorious for crime.. bottom line with the help of all your allies against Al-Shabaab up to this day bado wanawalamba makalio.. in short mngekuwa effective wangekuwa wameshaondoka..Msumbiji mlikwenda kufuata nini kama sio kiherehere cha kutaka kuonyesha ubabe uchwara mkaishia kumwaga damu ya bure, sasa leo hii hao msumbiji wanawapiga na kuwanyang'anya mali zenu kwao huko na kuwafukuza mtoke.
Somalia, nchi zote za ukanda huu zimekwenda pale maana magaidi wasipozuiwa mapema tutaangamia sote hata nyie waoga wa mwisho. Inabidi tuwakingie kifua maana nyie kwa uwoga wenu hata panya road wa Manzense huwa wanatetemesha nchi, yakija haya mashababi bin shetwan mtaogelea ziwa Malawi mkikimbia nchi.
Polisi yenu inanuka rushwa... Ndio maana crime is rampant huko kwenu.. wanajeshi wenu wana all the toys the could think of ila bado al shabaab wanawakimbiza na magobole..
Tuliingia msumbiji tukafanya kazi tukaimaliza, na sisi wabongo hatuna hiyana, Tunatenda wema tunaenda zetu.. likewise South Africa na Uganda..
Tupo peaceful kwa sababu hatuna jirani yeyote ambaye ana uwezo wa kutishia amani yetu kwa sababu hawana sababu wala uwezo huo..
Jeshi la Tz limewafurusha M23.. jeshi la Kenya lipo bize linauza mkaa.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]