Mwambie huyo Mtanzania mwenzako asiyefahamu hata Marekani wameshindwa kumaliza ugaidi duniani Waafrika ndio tutaweza? Wiki iliyopita gaidi alidunga visu na kuua watu wawili UK. Jana gaidi aliua watu watatu Marekani kwa kuwafyatulia risasi katika military base. Gaidi wanavaa nguo za raia kwa hivyo huwezi kuwatambua. Ukinyang'anya raia bunduki, gaidi anatumia kisu. Ukinyang'anya raia visu gaidi anatumia gari kufyeka watu kama huko Niece, France.
joto la jiwe anadhani yeye ni mtaalam wa jinsi ya kumaliza ugaidi bali hajui lolote.