mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Waoga sanaUnajua Magaidi ni Watu WAOGA SANA, na ndio maana wanavizia.
Wangekuwa si waoga basi watangaze vita vya moja kwa moja bila kuvizia wala kuficha nyuso zao.
Na je unafikiri ni kwanini hasa magaidi wanaishambulia zaidi Kenya? lile suala la ninyi kuweka wanajeshi Somalia sio sababu?
Kwann wasiombe pambano na jeshi wao wanakimbilia kuwauaa innocent civilians tu
Ova