Alshabaab wavamia "bus" na kuuwa watu wengi huko Wajir, Kenya

Alshabaab wavamia "bus" na kuuwa watu wengi huko Wajir, Kenya

Unajua Magaidi ni Watu WAOGA SANA, na ndio maana wanavizia.

Wangekuwa si waoga basi watangaze vita vya moja kwa moja bila kuvizia wala kuficha nyuso zao.

Na je unafikiri ni kwanini hasa magaidi wanaishambulia zaidi Kenya? lile suala la ninyi kuweka wanajeshi Somalia sio sababu?
Waoga sana
Kwann wasiombe pambano na jeshi wao wanakimbilia kuwauaa innocent civilians tu

Ova
 
Poleni sana wakenya.kwenye ilo gari hakuwepo mk 254.mana naona kmya sana
 
Hapa JF ukiita mtu tumbili (racism) hukuli ban lakini ongelea dini. Hivo na hivo unakula ban ndo yangu kaisha leo.
 
Back
Top Bottom