Bigmaaan
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 306
- 699
Binafsi, nimekuwa nikijiuliza, Mfano uvamizi ule wa Idd Amin Tanzania ungeisha kwa Idd Amin kuvishinda vikosi vya Tanzania, hali ingekuwaje? Leo 2024, tungekuwa na nchi ya Namna gani kisiasa, kijamii na kiuchumi? Tungekuwa na kanda ya ziwa sehemu ya Uganda?
Au Tanzania yote ingekuwa ni sehemu ya Uganda? Afrika Mashariki hii ingekuwaje? Kule maziwa makuu ingekuwaje? Siasa za harakati za ukombozi wa Afrika zingekuwaje?
Cc: Lycaon pictus MALCOM LUMUMBA JokaKuu