T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Crimea haijawahi kuwa nchi. Kwanini unakwepa kuwa mwaka ulionzishwa USSR sio muhimu?Unapitia njia ndefu mno kujibu swali langu; mwaka ulioanzishwa USSR sio muhimu cause kila muungano una historia yake kama ilivo Tanzania. Swali langu ni rahisi tu; je wakati wa USSR Ukraine, Serbia, Chechnya, Crimea, Slovenia zilikua nchi? Nani alikua Rais wake? Benders zao na lini zilianza kutambulika kama nchi? Jikite hapo bro.
Jibu la swali lako ni ndio, kabla ya USSR nchi zilizokuja kuunda USSR zilikuwa nchi. Mfano mwanachama mmoja wa USSR, Armenia ni nchi ya kwanza ya Waislamu duniani kuwa secular kabla hata USSR haipo na kabla Russian Empire haijafa.
Kwanini USSR ilikuwa ni Union of Repuplics (Jamhuri)?
Au unataka kusema Kenya ni muungano wa jamhuri za Mombasa, Nairobi, Kisumu, etc?